Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu,mimi nimuuliza mtoa hoja alete source ya kuaminika kuhusu hii ya wageni came March 2023,imetoka wapi?Sio poa kuzua Taharuki.
Tena Reliable source sio grupu la WasaapKweli mkuu,mimi nimuuliza mtoa hoja alete source ya kuaminika kuhusu hii ya wageni came March 2023,imetoka wapi?
Yes mkuu ILA elewa SA ni nchi kama yetu na ina sheria zake za uhamiaji, why uruke ukuta na sio kupitia mlangoni wakati upo wazi, mimi ningekua immigrations officer ninakukamata huku lingusenguse ukiwa illegal immigrants, utachezea kipigo cha mbwa koko,maana umenidhalilisha mimi na nchi yangu kuwa hatuwezi kulinda nyumba(nchi yetu) na njia uliyojia ndio utarudi nayo na mikwaju mgongoni ili ukawaonyeshe wenzako kuwa ukitaka kuingia Tanzania pitiable mlangoni sio njia za panya,ukipita njia za panya means kuwa wewe ni panya na nitakufanya uwe panyaSi tunasemaga SA inathamini sana harakati za Nyerere kwny Vita ya makaburu na kuwapenda wabongo?
Wangese wa DUDULA'Put South Africans first' hawajui hizo story za paukwa pakawa 😄😄
Kumbuka sio wote wanafanya hizo biashara kwani kitu ambacho unauhakika nacho usikichukulie kama mada.Acheni kufanya biashara ya madawa na u jambazi nchi za watu. Tena mfie huko huko. Wa Africa kusini walipokuwa Tanzania hawakutengeneza magenge ya uharifu, ila ninyi mmeunda magenge ya uharifu mpaka mnataka kuwatawala na kuchukua chocho zote za dili za kiharamia. Lazima wawaue.
Yes dunia ya sasa ipo mkononi, na Habari kubwa kama hii definitely vyanzo vya uhakika kama news.24,sowetan news,wengeandika, hii ni fake news za kwenye vijiwe ili kukatishana tamaa na kutishana, tubadilike ..tafuta passport yako, lamba taqwa hadi Harare au ITS,pale malori kibao yanayakwenda jhb, omba lift na ukifika border nenda mlangoni straight, chukua 90days zako jichanganye,hata kwangu ukiingilia dirishani nitakukaanga kama viazi maana hii ni dharau, mlango upo wazi why umerukia dirishaniTena Reliable source sio grupu la Wasaap
Kumbuka sio wote wanafanya hizo biashara kwani kitu ambacho unauhakika nacho usikichukulie kama mada.
Nimekaa miaka saba pale nafanya biashara za halali kabisa kwani unawaharibia wengine.
Ukiweka uwanja mzuri wa maisha ni nani atayeondoka hapa nyumbani
Fursa ni za kuchangamkia hebu waangalie Wanaigeria wanavyopeanaga michongo na sio kutishana, unabaki Manzese frozen in fear huku Mwigulu akikuumiza na Tozo na kukufanya Mtumwa wake.Yes dunia ya sasa ipo mkononi, na Habari kubwa kama hii definitely vyanzo vya uhakika kama news.24,sowetan news,wengeandika, hii ni fake news za kwenye vijiwe ili kukatishana tamaa na kutishana, tubadilike ..tafuta passport yako, lamba taqwa hadi Harare au ITS,pale malori kibao yanayakwenda jhb, omba lift na ukifika border nenda mlangoni straight, chukua 90days zako jichanganye,hata kwangu ukiingilia dirishani nitakukaanga kama viazi maana hii ni dharau, mlango upo wazi why umerukia dirishani
Wapopo mkuu wangu hawa jamaa wanainuana mno huko kwenye Diaspora, mpaka wanachangishana kuinuana au kmrudisha nyumbani mwenzao asiyebebeka, very rare kukuta mpopo amezikwa ughaibuni lazima atarudi nyumbani, wabongo ni wanafiki, jealous, roho za kutu, kukatishana tamaa, furaha yao kukuongelea wakati unapigika na ukitoboa unafiki wa kipambe unarudiFursa ni za kuchangamkia hebu waangalie Wanaigeria wanavyopeanaga michongo na sio kutishana, unabaki Manzese frozen in fear huku Mwigulu akikuumiza na Tozo na kukufanya Mtumwa wake.
Hii hapana, inategemea na aina ya kazi, SA kitu tunaita CRITICAL SKILLS, hizi ni taaluma ambazo zina uhaba hapa SA.Wageni wote. Hata walioajiriwa kihalali wanapaswa kuondoka na kuachia nafasi kwa Wasauzi.
Yesuu 🙆♀️Wageni wote. Hata walioajiriwa kihalali wanapaswa kuondoka na kuachia nafasi kwa Wasauzi.
Wageni wote. Hata walioajiriwa kihalali wanapaswa kuondoka na kuachia nafasi kwa Wasauzi.
Kumbuka sio wote wanafanya hizo biashara kwani kitu ambacho unauhakika nacho usikichukulie kama mada.
Nimekaa miaka saba pale nafanya biashara za halali kabisa kwani unawaharibia wengine.
Ukiweka uwanja mzuri wa maisha ni nani atayeondoka hapa nyumbani
Unafanya kazi vizuri ila ukweli kuna wivu fulani unakuwa nao. Na ni rahisi mno mgeni kukujua hasa sisi kuanzai EAST mpaka WEST AFRICA. tuko na muonekano tofauti na wao, uvaaji, na hata aina yetu ya mikato ikiwa nywele nk.Vipi walioajiriwa huko?
Mkuu ninakuteua uwe President, umeongea ukweli and always facts zinasaidia kuliko uongo, lawama, umeelezea changamoto na way forward to solve them, welldone mkuu,salute kwakoHii hapana, inategemea na aina ya kazi, SA kitu tunaita CRITICAL SKILLS, hizi ni taaluma ambazo zina uhaba hapa SA.
Mfano, Waalimu wa Hesabu/Hisabati, Sayansi kama PHYSICS nk, Wahasibu wabobezi wenye CPA, CA, CISA, ACCA nk
Mainjinia, madkati bingwa, madaktari wa mifugo nk
Kuna kada nyingi sana ambazo hapa SA hazina watu makini hivyo Serikali kupitoa Home affairs waliweka utaratibu wa kupata visa kwa kuangalia hizo taaluma.
Pia unaruhusiwa kuwa mfanyabiashara halali na kwa vibali vyote bila shida yoyote.
Ni kweli kuna uhalifu mkubwa na hii ni kwa sababu ya sera zao za tangia ubaguzi wa rangi. Nchi hii walishindwa kucontrol silaha tangu awali, yaan hata baada ya ubaguzi wa rangi kukomeshwa bado watu weusi wengi walikuwa wanamiliki silaha na hadi leo limekuwa tatizo sugu.
Kuna sheria za umiliki wa silaha na maduka yake ila kuna utaratibu kama ilivyo hapo home TZ.
Operesheni DUDULA ikiongozwa na makundi mawili makubwa ila maaraufu ni lile la N. LUX ambao wao wanachokosea ni ile kutaka uwaoneshe vibali vya kuishi ingali wao sio mamlaka ya serikali inayohusika na vibali hivyo.
Changamoto za Watanzania wa huku.
1. Hawana umoja, wengi walikuja huku kihuni hvyo hawaba vibali vya kuishi, hawana Pasipoti nk. Mbaya zaidi wengi wambao wameingia bila utaratibu ndio wamejiingiza kwenye uhalifu hasa maeneo ya KWA ZULU NATAL - DURBAN, JOBURG na PRETORIA.
2. Wengi si waelewa hata ukiwaambia twende ubalozini ukaangalie namna bora ya kupata Passport wanakataa na kuhisi watarudishwa home.
3. Watanzania wapo wema pia ambao wengi wao wana maduka hasa JOBURG, DURBAN na PRETORIA, wanasaidia sana madogo wa TZ sema ndio hivyo madogo wengi ni miyeyusho na uhuni mwingi kiasi wanaweza hata kukuibia.
4. Watanzania wachache wapo miji kama PORT ELIZABETH, CAPE TOWN, BLOEMFONTEIN nk huko pia kuna mishe ila hakuna WATZ wengi sana nilivyoona hii miji ya huku kaskazini.
Nini kifanyike, binafsi natamani sana SERIKALI YETU ikae na Ya SA wakubaliane namna ya kuwachukua raia wetu wanateseka huku, magonjwa baridi kali, usalama nk. Ningekuwa RAIS ningeshusha MABASI KAMA 6 hapa sambamba na wanajeshi wetu kama 70 hivi, hawa wasaidiana na askari wa SA kupitia ubalozi wa TZ wasakwe mji mmoja hadi mwingine warejeshwe kwa lazima home lkn bila kufunguliwa mashtaka. Maana hilo ndilo vijana wengi huogopa.
All in All maisha ya SA ni rahisi kama unajituma na umejiepusha na maeneo hatarishi, na zaidi ukifanya kazi maeneo ya Wazungu wengi basi usalama wako unakuwa mkubwa kidogo, maana maeneo ya wazungu wengi kuna rate ndogo ya uhalifu.
Yaani huyu jamaa ni Msanii kweli kweli, mwongo na anatuletea mada za kuwaogopesha vijana ambao wapo tayari to take risks na kujilipua ughaibuni, dunia imebadilika now nchi yeyote always ingilia mlangoni no matter what ,ukiingia kihalali ndani ni kujichanganya as soon as possible, na njia za haraka oa,olewa au jifanye wewe ni M2M guy(no kidding)Uongo mkubwa sana huu
M2M guy ndiyo nini?Yaani huyu jamaa ni Msanii kweli kweli, mwongo na anatuletea mada za kuwaogopesha vijana ambao wapo tayari to take risks na kujilipua ughaibuni, dunia imebadilika now nchi yeyote always ingilia mlangoni no matter what ,ukiingia kihalali ndani ni kujichanganya as soon as possible, na njia za haraka oa,olewa au jifanye wewe ni M2M guy(no kidding)
No mkuu was just kidding, potezea plsM2M guy ndiyo nini?