Nimepotea naona giza kwa hii anasa

shukran
 
Soma sana neno la Mungu hubadilisha watu, au wanasema omba sana msiingie majaribuni, majaribu yapo ila twapasa kuyaacha na kuyakwepa na sio kuyaendekeza
 
Tafta dada powa, wawili walokidhi haja zako oa, mmoja mke mkubwa na mwingine mke mdogo
 
Unanunulia wapi?
 
umenasa au umenaswa?
 
Yani hapo badoooo. Mm Ninakaribia 200 mwaka huh ukiisha nafikisha
 
Labda nikusaidie apo kwenye kupoteza pesa,tafuta chimbo la 10k mpk 15 utanishukuru mkuu
Dah badala umpe ushauri mzuri ,unataka umpe unafuu 😀😀jamaa anapigwa parefu wahuni wanatoa buku 3 na 20k tu
 
Acha Utapeli Mkuu Hiyo Tabia Haihitaji Maombi
Sio utapeli unatawaliwa na dhambi na shetani amepandikiza Roho hiyo ndani yako bila kuombeaa na kumpokea Yesu ili akufungue hutapona kamwe na kama unaona ni utapeli sawa Wacha uniite tapeli ila utauhitaji msaada huu siku Moja nipo hapa nasubiri
 
Iyo Hali mi mwenyewe ilinishikaga aisee ni kama Pepo,kipindi nipo university nilikuwa na addiction na bitches kuliko mademu WA kawaida yaani ukiniletea bitch na demu WA kawaida nachagua bitch,na nilipata bitch mwenye familia yake kabisa akawa ananikaribisha nikalale kwake kabisa sema ni single mother ,naondoka ghetto naenda kwake,na Kila nikipata boom lazima niende kwa bitches kulala nazo ,roho yangu ilikuwa ipo kwa bitches ata nijizuie vipi ata siku iende vipi lazima niende tu,na nimegonga sana bitches za chugga tangu enzi za shivaz na sa hivi picnic,xo, pinpoint,na za kitaa ambazo zinapenda anasa ya pombe,na za mji kasoro bahari pale kahumba,aisee nilichokuja gundua izo bitches ni Zina mambo ya kishirikina sana na Zina jivukisha madawa sana ya waganga yaani madawa ya mvuto na kuvuta mteja akikuita tu lazima akudake na ukijichanganya tu kupiga au kulala naye lazima Kila siku ukienda ilo eneo lazima umchukue yeye,sahivi nimejitahidi kuacha izo issues ila nimepoteza sana pesa na Kuna kipindi nilikuwa na nasa Hadi magono,kwa kifupi kudeal na Malaya ni hatari sana jitahidi kupiga maombi ili kujiondoa kwenye ilo Pepo la kupenda bitches ambalo usikute umetupiwa na hao hao bitches
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…