Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

Kinachosikitisha ni kuwa sitamwona wala kuongea naye tena kwa sababu ya kitu kidogo kinachoitwa pombe; alikuwa ni toka nitoke wangu.
Usisikitike kimsingi pengine alitupia vitu bila kula sababu unaijua nakwann hamkuchukua hatua

Uko sawa na G- msigwa anarafikiake mbinga huko anaitwa John chapombe balaa akija kufa nae atalalamika

Unaweza fikiri msukule wake ,akienda ruvuma hawezi rudi bila kumtafuta msela wake ,hatakama atakuwa kuchoma mkaa au kafata pombe vijiji vya jirani
 
Nashukuru kunitia moyo nisisikitike. Ila kuhusu kunywa bila kula ndiyo tabia mbaya inayosikitisha; alikuwa na financial support kubwa sana kiasi cha kuweza kupata chakula cha aina yoyote anayohitaji lakini yeye alipenda pombe zaidi.

Ujumbe wangu mkuu hapo ni kuwa iwapo una ndugu mwenye tabia kama za marehemu ndugu yangu, jifunze mbinu mpya za kumsaidia mapema usijelia kama mimi.
 
Madhara ya vita sio lazima yatokee vitani. Vitani watu wanafanya mengi, wanafanyiwa mengi na wanaona Mengi. Inaweza kuchukua muda ... Kutafakari, kuapata maoni/maoni mapya nk.

Na kwa kubandika hapa, kunanini cha kujifunza, kwamba ukilewa utakufa usingizini?
 
marehemu anangwi ndugu ulichokifanya hujaonyesha ukomavu na kupevuka kiakili

pole na msiba MUNGU awape moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wemu
 
Umekumbuka shuka kumekucha.
 
Hakuwa na familiya ya kumuhudumia alipo rudi? Kwa nini hawakumpa chakula, supu, juice za ku dilute pombe? huyo alikufa kwa njaa.
Alirudi akaenda kulala moja kwa moja; mke wake alikuwa amezowea tabia hiyo ila safari hii inaonekan ilikuwa zaidi.
 
Umekumbuka shuka kumekucha.
Ni kweli; nimekumbuka when it is too late. Unajua mimi na yeye tulikuwa tunaishi dunia mbili tofauti sana, na ndicho kinachonisikitisha.
 
marehemu anangwi ndugu ulichokifanya hujaonyesha ukomavu na kupevuka kiakili

pole na msiba MUNGU awape moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wemu
Hapana, una miss point kubwa hapo. Elewa hakuna mwana JF anayemfahamu marehemu na wala jina lake halijatanjwa kuweza kusema nimedhalilisha. Point kubwa hapo ni lile somo litokanalo na nature ya kifo chake ambalo linawahusu watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…