Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

Kinachosikitisha ni kuwa sitamwona wala kuongea naye tena kwa sababu ya kitu kidogo kinachoitwa pombe; alikuwa ni toka nitoke wangu.
Usisikitike kimsingi pengine alitupia vitu bila kula sababu unaijua nakwann hamkuchukua hatua

Uko sawa na G- msigwa anarafikiake mbinga huko anaitwa John chapombe balaa akija kufa nae atalalamika

Unaweza fikiri msukule wake ,akienda ruvuma hawezi rudi bila kumtafuta msela wake ,hatakama atakuwa kuchoma mkaa au kafata pombe vijiji vya jirani
 
Usisikitike kimsingi pengine alitupia vitu bila kula sababu unaijua nakwann hamkuchukua hatua

Uko sawa na G- msigwa anarafikiake mbinga huko anaitwa John chapombe balaa akija kufa nae atalalamika

Unaweza fikiri msukule wake ,akienda ruvuma hawezi rudi bila kumtafuta msela wake ,hatakama atakuwa kuchoma mkaa au kafata pombe vijiji vya jirani
Nashukuru kunitia moyo nisisikitike. Ila kuhusu kunywa bila kula ndiyo tabia mbaya inayosikitisha; alikuwa na financial support kubwa sana kiasi cha kuweza kupata chakula cha aina yoyote anayohitaji lakini yeye alipenda pombe zaidi.

Ujumbe wangu mkuu hapo ni kuwa iwapo una ndugu mwenye tabia kama za marehemu ndugu yangu, jifunze mbinu mpya za kumsaidia mapema usijelia kama mimi.
 
Ninakubaliana na wewe kumfichia aibu yake, lakini sidhani kama kuna anyemfahamu personally hapa, kwa hiyo hii nji habari kwa watu wote wanaoweza kupata cha kujifunza kuhusu ndugu wenye tabia hizo. Elewa kuwa ni ndugu yangu toka nitoke; kwa hiyo usidhani ninaandika kwa furaha.

Tabia ya pombe haikutokea vitani; aliporudi alitulia na kujenga familia yake vizuri; huu unywaji wa hovyo ni tabia ya aliyejenga ukubwani.
Madhara ya vita sio lazima yatokee vitani. Vitani watu wanafanya mengi, wanafanyiwa mengi na wanaona Mengi. Inaweza kuchukua muda ... Kutafakari, kuapata maoni/maoni mapya nk.

Na kwa kubandika hapa, kunanini cha kujifunza, kwamba ukilewa utakufa usingizini?
 
marehemu anangwi ndugu ulichokifanya hujaonyesha ukomavu na kupevuka kiakili

pole na msiba MUNGU awape moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wemu
 
Jana nimepoteza kaka yangu niliyekuwa namfuatia; yeye alikuwa anaishi kijijini ambako ameishi tangu aliporudi vitani mwaka 1980. Alikuwa mtu mzima sana; kinachonisikitisha zaidi ni sababu ya kifo chake.

Alikwenda kunywa pombe za kienyeji na kendelea kunywa kwa siku mbili mfululizo bila kula; aliporudi nyumbani baada ya siku hizo akaenda kulala na hakuamka tena.

Ndugu yangu huyo alikuwa na matatizo sana ya kuhimili pombe kiasi kuwa ukoo wote ulimkatia tamaa; kwa bahati mbaya sana yeye ndiye aliyekuwa amebaki mkubwa peke yake kwenye ukoo huko kijijini, kwa hiyo hakukuwa na mwenye sauti juu yake. Nimeanza kufikiri kuwa huenda mimi ningekuwapo mara kwa mara pale kijijini huenda asingepotoka kufikia kiasi cha kupoteza maisha yake kwa njia ya aibu namna hiyo.

Ukiwa na ndugu mwenye tabia za marehemu kaka yangu, jitahidi uwe unatenga muda wa kumshauri mara kwa mara kuhusu pombe asitumbukie kwenye janga lililotufika sisi.

Kazi ya Mungu haina makosa

Mungu ampumzisha roho yake anakosatahili
Umekumbuka shuka kumekucha.
 
Hakuwa na familiya ya kumuhudumia alipo rudi? Kwa nini hawakumpa chakula, supu, juice za ku dilute pombe? huyo alikufa kwa njaa.
Alirudi akaenda kulala moja kwa moja; mke wake alikuwa amezowea tabia hiyo ila safari hii inaonekan ilikuwa zaidi.
 
marehemu anangwi ndugu ulichokifanya hujaonyesha ukomavu na kupevuka kiakili

pole na msiba MUNGU awape moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wemu
Hapana, una miss point kubwa hapo. Elewa hakuna mwana JF anayemfahamu marehemu na wala jina lake halijatanjwa kuweza kusema nimedhalilisha. Point kubwa hapo ni lile somo litokanalo na nature ya kifo chake ambalo linawahusu watu wote.
 
Back
Top Bottom