Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

Umeshayakanyaga amini kwamba mkeo ana roho mbaya yachoyo na ubinafsi uliokubuhu, unajua ni kwanini? Kwa sababu kwake yeye anaona ni sawa kuwa karibu na ndugu na marafiki lakini kwako anaumia, huyo ni zaidi ya mchawi.

Kuna jamaa yangu nae n hivyo hivyo, mkewe ana kiroho kunguni kama hicho lakini wakipata shida mbio kwa marafiki shida ikikata ndio basi, mwanamke saa 12 jion anataka jamaa awe ndani na jamaa anafyata.
 
Sasa mbona ni kitu kizuri?tena aongeze ukali zaidi. Marafiki kutana nao kwa kiasi na kuja nyumbani ni mara chache hasa kama kuna shughuli....huo ndio ukuaji. Mbona wazazi wako uliwaacha?
 
Ili arudi kwa marafiki wanywa gonho wenzake. Ukishaamua kuoa na kuwa na familia, rafiki zako wa kweli ni mkeo na watoto na sio hao wa mitaani.
Hao hao marafiki wanywa gongo ndiyo walimpendekeza huyo mwanamke. Kama ukiona wanywa gongo hawana maana basi hata huyo mwanamke aliyechaguliwa na wanywa gongo hana maana kwahiyo naye apigwe chini
 
Ushauri wako hautekelezeki
Usipokuwa makini na marafiki wa mwenza wako ndoa inaweza ika fail
Sababu ya mtoa mada ni nyepesi sana kumbuka katika dunia rafiki huja na kuondoka ila familia inadumu
Hao marafiki ndiyo waliomshawishi jamaa aoe huyo mwanamke. Hao marafiki ndiyo waliomsaidia jamaa ajenge nyumba na kununua gari. Sasa ukisema hao marafiki waondoke basi hata huyo mwanamke naye aondoke jamaa afanye uchaguzi upya
 
Wanaume wa kweli wenye misimamo tumebaki wachache...Hata hili linakushinda kuamua
 
Sure KABISA Mkoloni anaonekana hafai Ila ana faida zake behind the scenes
 
Kwisha habari yako
 
Ili arudi kwa marafiki wanywa gonho wenzake. Ukishaamua kuoa na kuwa na familia, rafiki zako wa kweli ni mkeo na watoto na sio hao wa mitaani.
Kuna changamoto akizipata mke na watoto wataishia kulia tu.

Kama ni marafiki wazuri kaa na mkeo mueleweshe. Atazoea tu.
 
Hao marafiki ndiyo waliomshawishi jamaa aoe huyo mwanamke. Hao marafiki ndiyo waliomsaidia jamaa ajenge nyumba na kununua gari. Sasa ukisema hao marafiki waondoke basi hata huyo mwanamke naye aondoke jamaa afanye uchaguzi upya
Marafiki hawawezi kukushauri Uoe Wala ujenge haya maamuzi mtu huwa anafanya yeye mwenyewe kwa kuangalia na kutathmini uwezo wake
Yes wanaweza kuwa na mchango ila sio mkubwa kiasi Cha kusema kama sio wao basi usingefanya
Kifupi jamaa anaweza kuwa kamchoka huyo mwanamke Sasa anatafuta scape goat ili atimize malengo yake but nothing bits a woman who gave him two beautiful children ye afurahishe familia yake na sio marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…