Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

Asante kwa ushauri mkuu..hii kitu ipo aina mbili kuna inayolea watoto na inayoua watoto na sio bawasiri ni Likango..nilituma picha humu mod wamefuta
 
Huyo sio daktari wa wanawake?? Jamaa ni mwanaume, anaamini mambo ya kishirikina kuwa mimba za wanawake wake zinatoka kwasababu yeye anahiyo ishu. Jambo ambalo hata bila utaalamu ni wazi kuwa halina ukweli.
Mkuu hii ishu sio hata ya kishirikina ni homa tu kama homa zingine
 
Wewe Dungadunga na hao wanawake wengine walikuwa group hilo hilo? Nenda hospitali uambiwe group lako na mwenza wako lazima awe group gani. Kuna group huwa lina-detect mimba kama maambukizi hivyo lazima zifie tumboni! Tafuta mke mmoja mpime damu!
Hao wengine group zao sikupima..ila ninayeishi nae ana group sawa na mimi na ndiye kapoteza watoto wengi zaidi wote 0 positive
 
Asante chief..ndio anaumwa sana kabla ya kufariki na hua legelege kama mlenda
Ishu ya kiroho sana!

Hebu jaribu Kwa mwamposa nae,japo hatuamini kwamba KAZI yake ni zao la Mungu was kweli!

Kuna member wetu alihangaika sana kupata mtoto alipoenda alipata mapacha wa kiume na kike!!!

Jaribu aiseh!
 
Ishu ya kiroho sana!

Hebu jaribu Kwa mwamposa nae,japo hatuamini kwamba KAZI yake ni zao la Mungu was kweli!

Kuna member wetu alihangaika sana kupata mtoto alipoenda alipata mapacha wa kiume na kike!!!

Jaribu aiseh!
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…