Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

Ni kweli, hata hapo Kenya KANU imetolewa madarakani baada ya Kila mkenya kupata elimu ya zaidi ya diploma. Acha tubaki na chama hiki hiki kilichoshindwa kutatua tatizo la umeme kwa 60yrs+.
 
Msilalamike kabisaaaa...

Mama anachapa kazi nzuri.. na mlimfurahia alipoingia kuwa Rai's wetu Mwanamke wa kwanza Tanzania

Hivyo

Kazi iendeleee...
 
Nimesoma kuwa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wataomba hizo kazi na kufanyiwa usaili. Je hao watakaowafanyia usaili watapatikana vipi?. Pili ni vema pia nafasi ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ikatangazwa kama ilivyo kwa majirani wetu wa Kenya. Kila kitu kwao ni wazi bila kupinda pinda.
 
Kumbukeni nguvu ya CCM iko anchored kwenye Tume ya Uchaguzi na Vyombo vya Dola. Hili ni changa la macho lililoambatana na Ushetani ndani yake
 
Watapitishwa wana CCM kwenye usaili
 
Ni kweli, hata hapo Kenya KANU imetolewa madarakani baada ya Kila mkenya kupata elimu ya zaidi ya diploma. Acha tubaki na chama hiki hiki kilichoshindwa kutatua tatizo la umeme kwa 60yrs+.
We huna umeme hapo ulipo,umechajia nini!?
 
Bado unasoma makala za Mayalla? Dah mimi nilishampuuza zamani sana. Kabla ya utawala wa Magufuli Mayalla alikuwa mwandishi bora zaidi. Baadae siku Magufuli alimfanya nini, bora nicheze na wanangu kuliko kumsoma Mayalla.
 
That is a big concern, ndipo changa la macho lilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…