Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

Hicho walichofanya kina maslahi kwa taifa, huwezi acha hatamu za nchi kushikwa kwa kura zilizopigwa na watu wasio na uelewa wa mambo,yaani watu wanaopiga kura kisa mgombea kaja na helkopta,mtu Leo unaambiwa ni fisadi kesho unaambiwa 'mabadiliko lowasa,lowasa mabadiliko'..ni upuuzi,Kama walikua wanaiba kura, waendelee kuiba mpaka pale majority ya watz watakua walau na elimu ya diploma
Ni kweli, hata hapo Kenya KANU imetolewa madarakani baada ya Kila mkenya kupata elimu ya zaidi ya diploma. Acha tubaki na chama hiki hiki kilichoshindwa kutatua tatizo la umeme kwa 60yrs+.
 
Msilalamike kabisaaaa...

Mama anachapa kazi nzuri.. na mlimfurahia alipoingia kuwa Rai's wetu Mwanamke wa kwanza Tanzania

Hivyo

Kazi iendeleee...
 
Nimesoma kuwa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wataomba hizo kazi na kufanyiwa usaili. Je hao watakaowafanyia usaili watapatikana vipi?. Pili ni vema pia nafasi ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ikatangazwa kama ilivyo kwa majirani wetu wa Kenya. Kila kitu kwao ni wazi bila kupinda pinda.
 
Kumbukeni nguvu ya CCM iko anchored kwenye Tume ya Uchaguzi na Vyombo vya Dola. Hili ni changa la macho lililoambatana na Ushetani ndani yake
 
Nimesoma kuwa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wataomba hizo kazi na kufanyiwa usaili. Je hao watakaowafanyia usaili watapatikana vipi?. Pili ni vema pia nafasi ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ikatangazwa kama ilivyo kwa majirani wetu wa Kenya. Kila kitu kwao ni wazi bila kupinda pinda.
Watapitishwa wana CCM kwenye usaili
 
Ni kweli, hata hapo Kenya KANU imetolewa madarakani baada ya Kila mkenya kupata elimu ya zaidi ya diploma. Acha tubaki na chama hiki hiki kilichoshindwa kutatua tatizo la umeme kwa 60yrs+.
We huna umeme hapo ulipo,umechajia nini!?
 
Mimi ndiyo maana kwenye ule uzi wa Mwanahabari nguli na Wakili Msomi Pascal Mayalla, nilisema wazi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hicho kilichopelekwa huko Bungeni, siyo kiini macho.

Yaani serikali hii hii ya CCM ifanye kitu chenye maslahi kwa Taifa!!! Aisee tutasubiri sana. Hao watu kila kitu wanachofanya, mara zote huangalia maslahi yao kwanza na yale ya chama chao.
Bado unasoma makala za Mayalla? Dah mimi nilishampuuza zamani sana. Kabla ya utawala wa Magufuli Mayalla alikuwa mwandishi bora zaidi. Baadae siku Magufuli alimfanya nini, bora nicheze na wanangu kuliko kumsoma Mayalla.
 
Nimesoma kuwa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wataomba hizo kazi na kufanyiwa usaili. Je hao watakaowafanyia usaili watapatikana vipi?. Pili ni vema pia nafasi ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ikatangazwa kama ilivyo kwa majirani wetu wa Kenya. Kila kitu kwao ni wazi bila kupinda pinda.
That is a big concern, ndipo changa la macho lilipo
 
Back
Top Bottom