econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mnataka mabadiliko huku matako yenu mkikalisha majumbani kwenu maandamano yakiitwa hamtokei mnafikiri U.S.A, China, France walifika pale kwa wananchi kukalisha matako yao ndani wakitegemea muujiza wa mabadiliko pumbavu kabisa
Umeongea ukweli mchungu. Uoga wetu ndio anguko letu