Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

Yani watu bado wanateseka na maweweseko ya kuua watu na kudhurumu haki za binadamu..halafu bado kuna watu wanataka waongezewe stress za kuwaza usalama wa mali zao zilizochumwa pasipo uhalali. Acheni utani aseee
 
Ulitegemea tofauti na hivyo? Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli.
Jeshi la wapi eboo watu wanakula keki ya taifa kwa mrija wampindue nani.
 
Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly

At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist

20. The Swedish Election Authority is organised as follows:

21. The Election Authority is governed by a board consisting of a chairman and four members.
The government appoints all members of the board for a specific period of time. An administrative office performs the daily work, and the activities are governed by an administrative director appointed by the government for a specific period of time. Neither members of the board nor the administrative director are politically appointed.

22. The Election Authority has twelve employees, all of whom are civil servants employed after competence in open competition on the labour market. No employee of the Election Authority is politically hired, which forms a guarantee that the administrative decisions are made without political bias. There is a specific legal act (The Act on Public Employment) regulating, among other things, disciplinary liability for state employees in performing their duties.
Mbona nimeangalia Mswada wote ila sijaona mabadiliko yoyote ni kitu jile kile
 
Hicho walichofanya kina maslahi kwa taifa, huwezi acha hatamu za nchi kushikwa kwa kura zilizopigwa na watu wasio na uelewa wa mambo,yaani watu wanaopiga kura kisa mgombea kaja na helkopta,mtu Leo unaambiwa ni fisadi kesho unaambiwa 'mabadiliko lowasa,lowasa mabadiliko'..ni upuuzi,Kama walikua wanaiba kura, waendelee kuiba mpaka pale majority ya watz watakua walau na elimu ya diploma
Unajua mimi nimesoma ila sijajua Mabadiliko Yamefanywa yapi mtu anielekeze
 
Hii ndio tz bwana. Mada za msingi kama hizi hata page tatu hazifiki ila mada za hovyo zipo page ya 39 huko!!
Acha ccm itawale.
Mimi walio nishangaza zaidi ni CHADEMA, kuliko hata hawa watu wa JF!
 
Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly

At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist

20. The Swedish Election Authority is organised as follows:

21. The Election Authority is governed by a board consisting of a chairman and four members.
The government appoints all members of the board for a specific period of time. An administrative office performs the daily work, and the activities are governed by an administrative director appointed by the government for a specific period of time. Neither members of the board nor the administrative director are politically appointed.

22. The Election Authority has twelve employees, all of whom are civil servants employed after competence in open competition on the labour market. No employee of the Election Authority is politically hired, which forms a guarantee that the administrative decisions are made without political bias. There is a specific legal act (The Act on Public Employment) regulating, among other things, disciplinary liability for state employees in performing their duties.
Una macho makali mkuu
Hili angalizo lina umuhimu

Hapa tunapigwa kama mkataba wa DPW

Najjuliza, mkuu Pascal Mayalla alisifia muswada, je alisoma kilichomo?
 
kamati anaichagua nani? hapo ndipo concern yangu ilipo. Ater all why involve rais kuwateua after mapendekezo?
Kamati ni wateule wa rais mf jaji mkuu ndo mwenyekiti wa kamati na kimsingi kamati haiteui bali inapendekeza majina manne kwa kila nafasi ikimaanisha kwamba kama wanahitajika wajumbe watano basi kamati itapendekeza majina 20
 
Mtego uko hapo...Judges are appointed by Rais and therefore anateua wanamtii! Stupid, alisema
 
Ya kaisari tumuachie kaisari, hayo majitu siku zao duniani si nyingi ni miaka 70 ikizidi 80 yatakufa kama sisi sote! Allahu Aalam!

For now kwa kizazi hiki cha raia kunguru muoga hakuna cha kufanya ila inajulikana hili genge la viongozi wazee one day lote litakwisha na kuishia mavumbini kwa nyimbo na mapambio na hapo ndo watoto wetu watakuja kuenjoy maisha na kufuta udhalimu zao zote na Sheria zao zote za hovyo wanazoandika hivi sasa wamemiliki wale polisi kiboko wanavaa kofia Ina maua na magari ya washawasha sasa fanya fujo uone! Andamana kukataa miswada ya kijinga kama hii uone!

Kwasasa bongo haina tume huru ya uchaguzi na wala haina uchaguzi huru na wa haki bali uhuni mtupu na kuwekana makada tu! Maboksi ya kura zilizokwisha pigwa kabla ya uchaguzi yapo tayari! For now uchaguzi mkuu bongo hauna maana sababu washindi wanajulikana , uchaguzi wetu ni ubadhirifu wa Mali ya umma kama ubadhirifu zingine tu!

Bajeti ya uchaguzi mkuu ni Bora itumike kujenga Flyover pale Fire, 🔥 foleni ni Kali na ni kero kubwa mno for now! Maviongozi ya nchi hii Yana roho za mamba!! Hayaoni shida za wananchi aisee! Halafu husahau kama yatakufa!
 
Nimesoma kuwa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wataomba hizo kazi na kufanyiwa usaili. Je hao watakaowafanyia usaili watapatikana vipi?. Pili ni vema pia nafasi ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ikatangazwa kama ilivyo kwa majirani wetu wa Kenya. Kila kitu kwao ni wazi bila kupinda pinda.
Kamati ya usaili yote ni wateule wa Rais kuanzia Mwenyekiti wake ambae atakuwa Jaji Mkuu. Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi atateuliwa na Rais.

Amandla...
 
Hicho walichofanya kina maslahi kwa taifa, huwezi acha hatamu za nchi kushikwa kwa kura zilizopigwa na watu wasio na uelewa wa mambo,yaani watu wanaopiga kura kisa mgombea kaja na helkopta,mtu Leo unaambiwa ni fisadi kesho unaambiwa 'mabadiliko lowasa,lowasa mabadiliko'..ni upuuzi,Kama walikua wanaiba kura, waendelee kuiba mpaka pale majority ya watz watakua walau na elimu ya diploma
Kama kuna shida ya uelewa maana yake hsta hao wanaoongoza nao wana tatizo la uelewa.Kwasababu wao ndio walipaswa kuondoa huo ujinga.Wewe ni moja ya hao wasio na uelewa ujijui tu ndo maana unaandika ujinga wakati sheria za nchi na katiba yenye kutambua uchaguzi na vyama vingi mlitengeneza wenyewe.Huna tofauti na yule aliyesema katiba ni kitabu tu wakati ndicho kilichomfanya akawepo hapo alipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom