Kwa uzoefu wangu usijaribu kufanya biashara na serikaliKwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Uwe makini nao wakishajua una mtaji mkubwa watakugombania kama mpira wa kona utarudi nyumbani umejishika kichwaMtaji upo mwingi tu, we nipe michongo tu
Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali
Nimekucheki hapo...Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Yes nimeona, naifanyia kazi, fasta tu narudi kwakoNimekucheki hapo...
Nachukua ushauri wako, nipo makini, asante sana mkuuKwa uzoefu wangu usijaribu kufanya biashara na serikali
- 10% itakufilisi
- Malipo yanachelewa sana gharama ya kufuatilia ni kubwa kuliko faida
- Urasimu ni mkubwa sana
- Kama huna uzoefu wa kucheza na TRA mwisho wa siku utakuwa uanwafanyia kazi wao
Eeh bwana eeh, hembu utupie hapa huo ushahidi kwa ufupi tu, tupate uzoefuAchana na tenda za serikali watakufirisi nina ushuhuda
Sawa, lakini penye nia pana njia mkuuKingine kwa kampuni mpya kupata hizo tender ni changamoto mpka uwaoneshe uzoefu wako wa kazi miaka mitatu nyuma
Sawa mkuu, na wewe utupe uzoefu wako pia
UbarikiweHizi hapa ushindwe wewe tu
Pole humu JF yamejaa mambula tupu na bodaboda wehu
yamepeleka uzi fasta page kadhaa kuongea utumbo tupu
Tanzania Tenders | Tanzania Government Tenders | PPRA Tanzania Tenders
547 records found for Tanzania Tenders 2021 - Find latest updates on tenders from various dept of Tanzania Govt like: bank of Tanzania Tenders, Tenders Tanzania TANESCO, tender MPYA Tanzania, Tanroads tenders, TANEPS Tanzania and world vision Tanzania Tenders.www.tendersontime.com
View attachment 3066492
Tenders Tanzania
Find a wide range of the latest tenders in Tanzania at Online Tenders.www.onlinetenders.co.za
View attachment 3066493
Litamkuta jamboTahadhali usifanye biashara na chochote ambacho kiko chini ya halmashauri utafilisika
Hilo ni kosa la kwanza ameshalifanya.Wakati unafungua ulikuwa unawaza kufanya tenda Gani? Kweli mahindi hayaoti mjini
Hongera kwa kuanzisha kampuni! Ili kupata tenders za serikali, kuna hatua kadhaa muhimu unazoweza kufuata:Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Asante kwa ushauri mzuri,, tayari nimo ndani naendeleza mapambanoHongera kwa kuanzisha kampuni! Ili kupata tenders za serikali, kuna hatua kadhaa muhimu unazoweza kufuata:
1. Jisajili na PPRA (Public Procurement Regulatory Authority) - Kwa Tanzania, unahitaji kusajili kampuni yako kwenye Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA).
Kwa kawaida, wanatoa nambari ya usajili na fursa za kuomba zabuni. Tovuti ya PPRA pia ina orodha ya zabuni zinazopatikana.
2. Hakiki na Uboreshe Nyaraka za Kampuni - Hakikisha una nyaraka zote muhimu zinazohitajika kwenye zabuni, kama vile:
- Cheti cha usajili wa kampuni
- TIN namba
- Leseni ya biashara
- Cheti cha ulipaji kodi (TRA Tax Clearance Certificate)
- Uthibitisho wa uzoefu kwenye miradi kama tender unayolenga kuomba
- Sera na viwango vya ubora ikiwa inahitajika
3. Jiunge na Mfumo wa National e-Procurement System of Tanzania (NeST) - Mfumo wa NeST unatumika kwa kutuma zabuni, na makampuni yanaweza kuona zabuni mpya za serikali na kushiriki moja kwa moja.
Unahitaji kujisajili kwenye mfumo huu kwa kuwa ni sehemu muhimu ya mchakato.
4. Jenga Uzoefu na Sifa - Kama unaanza, itakusaidia kuanza na miradi midogo au zabuni ndogo ili kupata uzoefu na kujenga sifa nzuri.
Serikali inazingatia uzoefu na sifa za kampuni kwenye mchakato wa zabuni.
5. Fuatilia Tangazo la Tenders Mara kwa Mara - Serikali inatangaza zabuni kwenye gazeti la Daily News, tovuti za taasisi zinazotangaza zabuni, na kwenye NeST.
Ni muhimu kufuatilia mara kwa mara ili usipitwe na fursa.
6. Andaa Mapendekezo Bora (Proposals) - Kila zabuni inahitaji maelezo na bajeti inayojitosheleza. Hakikisha unaandaa mapendekezo yenye maelezo ya kina, gharama zinazoeleweka, na muda wa kukamilisha kazi kwa usahihi.
Mara nyingi serikali huchagua ofa bora lakini yenye gharama za ushindani.
7. Unda Mitandao na Mahusiano - Kuhudhuria semina, mikutano, na shughuli za kiserikali au za sekta yako kunaweza kukusaidia kujenga mitandao ya biashara.
Kukutana na watu wa sekta hiyo kunaweza kuongeza nafasi zako za kupata taarifa za zabuni na kuelewa matarajio ya serikali.
Ukifuata hatua hizi, utaimarisha nafasi zako za kushinda tenders za serikali.
Ova
Tayari, asanteJisajili kwenye mfumo wa manunuzi wa umma NEST