Ndio Allah ni muanzilishi wa masanamuUmeulizwa kuhusu bikra Mariam ulete jibu kama mkatoliki. Unawaonesha wakatoliki wenzako ulivyokuwa zezeta. Kwa hiyo mkristo wa dhehebu lingine akikuuliza utajibu Allah ni muanzilishi. Huwa una akili sawa sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Allah ni muanzilishi wa masanamuUmeulizwa kuhusu bikra Mariam ulete jibu kama mkatoliki. Unawaonesha wakatoliki wenzako ulivyokuwa zezeta. Kwa hiyo mkristo wa dhehebu lingine akikuuliza utajibu Allah ni muanzilishi. Huwa una akili sawa sawa?
Kwake Allah alietunga versechukua zawad yako hio🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
🖕🖕🖕Kwake Allah alietunga verse
Waambie hapo seminary wakupe kazi hata za kufua chupi za masista. Muda wote huku unashinda kubishana 24 hours kwa vitu vya uongo hata kwa mtu asiyekuwa muislamu akiangalia rejea anajua kichaa unachangamsha genge.Ndio Allah ni muanzilishi wa masanamu
Kwake Allah alietunga verse
Mjibu tu kwa Nini Muhammad aliiba chupi nyekundu, mpaka verse ikaletwaWaambie hapo seminary wakupe kazi hata za kufua chupi za masista. .
Unadhani Execute una cha kuwasilisha katika jamii ya kikristo ya catholic kuhusu Mariam ukaeleweka au ukabadilisha mtazamo walio nao kuhusu Maria.
Au unadhani wewe ndie ulie na ufahamu mkubwa wa biblia kuliko wengine wote na kwamba wewe ndie sasa unakua mkombozi wa wengi walio kwenye upotofu kwa mijibu wako?
Kama ni imani ambayo haina mahusiano na wewe au haina athari na wewe unaweza ukaachana nao tu .
Maana imani na dini na madhehebu yapo kila mahali na kila jamii na kila mmoja wao ana mafundisho ya aina yake yasiyo ingiliana na wengine na maisha yanaendelea.
Huwezi kuongeza au kupunguza kitu kwenye mjadala wa Maria kuhusu kuwa mama wa Mungu , huo mjadala ulishajadiliwa miaka na miaka karne na karne, ulileta athari mpaka kutokea kugawanyika kwa kanisa katoliki la rumi na kanisa katoliki la mashariki.
Pamoja na hayo ni zaidi ya miaka 1000 sasa Maria anatajikana kama mama wa Mungu so usidhani kwamba wewe ndie uko bora zaidi kuliko wengine wote au Mungu anae ona hayo na kuyaacha yaend
Jambo moja nalipenda kwa wakatoliki huwa hawajishughulishi na imani ya mtu mwingine sema weeee mpaka upasuke mdomo wao mambo yao yanaenda mbele na Mungu anawabarikia huko huko sasa baki na makuti yako na vibanda umiza vyako piga makelele wakashifu wakosoe jifanye unajua biblia as if ni pacha wa Paulo mtume wao hawana muda na ukijiskia kujitenga jitenge tu hawana habari na wewe ila wanamaibu yote na wao ndio walikuletea hiyo imani maana hata Luther alikuwa mkatoliki, na ever since amejitenga kutoka kwake utengano umeendelea mpaka wa leo ila kanisa katoliki liko pale pale maandiko na Mapokeo ndio kitu pekeee wanatoa misingi ya mafundisho yao hawategemei tu biblia. wanamfaham mpaka mama wa maria na baba yake mpaka yule mnyanganyi aliyelamba teuzi ya mbinguni kwa kuwa chaa dk za mwishoni we endelea kubwabwaja na kujifanya mkamilifu tuMoja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Sawa mtume na nabiiKifupi maombi ya wafu yanakataliwa na yanatupiliwa mbali.
Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria
Fua vyupi vya masista hapo seminari. Ukimaliza baadae uwahudumie mapadri ambao hawaoi.Mjibu tu kwa Nini Muhammad aliiba chupi nyekundu, mpaka verse ikaletwa
Jibuni kisomi
HujasomekaMoja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Wewe kaa huko huko wanakofufua wafu. Kaa huko huko usije ukaumwa wakashindwa kukutoa mapepo. Kaa huko huko. Ukakamuliwe na wanaoongea na Mungu kwenye ndoto, wanaotoa pepo na kushindwa kuponya vilema. Kaa huko.Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Kwamba kumpelekea Mwamposa Tsh 100,000/= akuombee siyo kosa?Hii nayo kali,kwamba Mungu naye ana mama kama sisi wanadamu?
Tunakosea sana kumuomba Maria.
Sifàhamu..Allah anapenda kuwa lonely,
Kwani wewe unafanana na nani?
Hayo ni maoni yako binafsi sijaona hata mtu mmoja akinikosoa kuwa nimetoka nje ya uzi na nilichokiweka kinahusiana moja kwa moja na uzi ,ndio maana hata wenzako wengi wamesapoti sababu wameona ni ukweli.Unatokaje nje wakati wewe ndie umeweka sanamu , nenda kafute kama haviendani na Uzi
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Ndio na Koran inasaposti ulichotuma moja Kwa mojaHayo ni maoni yako binafsi sijaona hata mtu mmoja akinikosoa kuwa nimetoka nje ya uzi na nilichokiweka kinahusiana moja kwa moja na uzi ,ndio maana hata wenzako wengi wamesapoti sababu wameona ni ukweli.
#Nimemaliza
Nyani anasali?Nilidhani unashangaa professa kusali kabisa.
Yani mtu amesoma halafu bado anaamini akifumba macho kuna invisible man hewani huko juu ya mawingu anamsikiliza na atakuja kumsaidia???
Kweli sisi bado tuna unyani fulani ndani yetu.
Ndomaana wanasema DNA ya Binadamu na ya nyani vinapishana 2% tu
Siko hapa kuharibu malengo na na dhamira ya mtoa nada ambayo ni kuelimisha wakiristo wenzake kuhusu jambo analoliona sio Sawa, sasa mimi nikianza kuweka vifungu vya Qu'ran na kuanzisha majadiliano mengine nitakuwa simtendei haki mwenye huu uzi mchungaji Execute .Ndio na Koran inasaposti ulichotuma moja Kwa moja
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....