Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Umeulizwa kuhusu bikra Mariam ulete jibu kama mkatoliki. Unawaonesha wakatoliki wenzako ulivyokuwa zezeta. Kwa hiyo mkristo wa dhehebu lingine akikuuliza utajibu Allah ni muanzilishi. Huwa una akili sawa sawa?
Ndio Allah ni muanzilishi wa masanamu
 
Ndio Allah ni muanzilishi wa masanamu
Waambie hapo seminary wakupe kazi hata za kufua chupi za masista. Muda wote huku unashinda kubishana 24 hours kwa vitu vya uongo hata kwa mtu asiyekuwa muislamu akiangalia rejea anajua kichaa unachangamsha genge.
 
Unadhani Execute una cha kuwasilisha katika jamii ya kikristo ya catholic kuhusu Mariam ukaeleweka au ukabadilisha mtazamo walio nao kuhusu Maria.

Au unadhani wewe ndie ulie na ufahamu mkubwa wa biblia kuliko wengine wote na kwamba wewe ndie sasa unakua mkombozi wa wengi walio kwenye upotofu kwa mijibu wako?

Kama ni imani ambayo haina mahusiano na wewe au haina athari na wewe unaweza ukaachana nao tu .

Maana imani na dini na madhehebu yapo kila mahali na kila jamii na kila mmoja wao ana mafundisho ya aina yake yasiyo ingiliana na wengine na maisha yanaendelea.

Huwezi kuongeza au kupunguza kitu kwenye mjadala wa Maria kuhusu kuwa mama wa Mungu , huo mjadala ulishajadiliwa miaka na miaka karne na karne, ulileta athari mpaka kutokea kugawanyika kwa kanisa katoliki la rumi na kanisa katoliki la mashariki.
Pamoja na hayo ni zaidi ya miaka 1000 sasa Maria anatajikana kama mama wa Mungu so usidhani kwamba wewe ndie uko bora zaidi kuliko wengine wote au Mungu anae ona hayo na kuyaacha yaend
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.

Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.

Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?

Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.

Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.

Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Jambo moja nalipenda kwa wakatoliki huwa hawajishughulishi na imani ya mtu mwingine sema weeee mpaka upasuke mdomo wao mambo yao yanaenda mbele na Mungu anawabarikia huko huko sasa baki na makuti yako na vibanda umiza vyako piga makelele wakashifu wakosoe jifanye unajua biblia as if ni pacha wa Paulo mtume wao hawana muda na ukijiskia kujitenga jitenge tu hawana habari na wewe ila wanamaibu yote na wao ndio walikuletea hiyo imani maana hata Luther alikuwa mkatoliki, na ever since amejitenga kutoka kwake utengano umeendelea mpaka wa leo ila kanisa katoliki liko pale pale maandiko na Mapokeo ndio kitu pekeee wanatoa misingi ya mafundisho yao hawategemei tu biblia. wanamfaham mpaka mama wa maria na baba yake mpaka yule mnyanganyi aliyelamba teuzi ya mbinguni kwa kuwa chaa dk za mwishoni we endelea kubwabwaja na kujifanya mkamilifu tu
 
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.

Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.

Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?

Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.

Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.

Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Hujasomeka
 
Wewe kaa huko huko wanakofufua wafu. Kaa huko huko usije ukaumwa wakashindwa kukutoa mapepo. Kaa huko huko. Ukakamuliwe na wanaoongea na Mungu kwenye ndoto, wanaotoa pepo na kushindwa kuponya vilema. Kaa huko.

Upade huu unaousimanga hauhitaji msaada wako. We nenda huko ukanene lugha zisizo na kanuni. Lugha isiyo na kanuni, silabi, vitenzi n.k. Kanene tu kwa kumsingizia Roho Mtakatifu.

Msalimi Kakobe, Mwamposa, Gio Devi, Bulldozer waambie umesimanga upande mwingine. Farijianeni kwamba sisi tulio upande wa pili tutachomwa ila nyinyi mmeandikwa kwenye daftari la Mbinguni.

Ubarikiwe
 
Shetani yuko kazini. Yani unaweza kusoma nyuzi hata kumi kwa siku zinakandia dini na imani za watu kwenye kusali na jinsi ya kuamini. Ila huwezi kukuta mtu anasema ushirikina na kafara za damu ni kitu kibaya wakati kinafanyika sana tu.

Mbona ni kama mnatumia nguvu nyingi sana kufanya watu wajione wanaabudu ujinga?

Na jf imenifundisha kitu kuwa group watu wote sawa hata nnapoishi katika mazingira ya kawaida. Maneno yako na mawazo yako yata determine nikuweke kwenye kundi la wenye akili au wasindikizaji.

Kuna mtu anajiita great thinker anasema anashangaa kuona professor anamuomba mtu alie juu kuwa atamshukia sijui anaona kama Mungu ha exist. Ila kwenda kutikisa viungo mwa waganga huwa mnaamini mtasaidika? What a shame.

Wewe kama unaona imani za watu ni ujinga wakati zinawaponya basi zip it. Deal na linalokuhusu. Na mkumbuke tu kwamba RELIGION IS A RELATIONSHIP BETWEEN YOU AND YOUR GOD.
 
Hii nayo kali,kwamba Mungu naye ana mama kama sisi wanadamu?
Tunakosea sana kumuomba Maria.
Kwamba kumpelekea Mwamposa Tsh 100,000/= akuombee siyo kosa?

Au kwa sababu anajiita mtume?
 
Unatokaje nje wakati wewe ndie umeweka sanamu , nenda kafute kama haviendani na Uzi

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Hayo ni maoni yako binafsi sijaona hata mtu mmoja akinikosoa kuwa nimetoka nje ya uzi na nilichokiweka kinahusiana moja kwa moja na uzi ,ndio maana hata wenzako wengi wamesapoti sababu wameona ni ukweli.

#Nimemaliza
 
Ndio na Koran inasaposti ulichotuma moja Kwa moja

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
 
Nilidhani unashangaa professa kusali kabisa.

Yani mtu amesoma halafu bado anaamini akifumba macho kuna invisible man hewani huko juu ya mawingu anamsikiliza na atakuja kumsaidia???

Kweli sisi bado tuna unyani fulani ndani yetu.
Ndomaana wanasema DNA ya Binadamu na ya nyani vinapishana 2% tu
Nyani anasali?
 
Ndio na Koran inasaposti ulichotuma moja Kwa moja

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Siko hapa kuharibu malengo na na dhamira ya mtoa nada ambayo ni kuelimisha wakiristo wenzake kuhusu jambo analoliona sio Sawa, sasa mimi nikianza kuweka vifungu vya Qu'ran na kuanzisha majadiliano mengine nitakuwa simtendei haki mwenye huu uzi mchungaji Execute .

Nb: Hiyo ni taarifa fupi maana usije ukashangaa kuona nakupuuza labda ukahisi kutokana na ujinga wako ,kama jambo hilo linakuuma na unaona ni very sensitive issue fungulia uzi kama alivyofanya mwenzako.

#SasaNdioMwisho#MwishoKabisa

#AhsanteKwaKushiriki
 
Back
Top Bottom