Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Umeulizwa kuhusu bikra Mariam ulete jibu kama mkatoliki. Unawaonesha wakatoliki wenzako ulivyokuwa zezeta. Kwa hiyo mkristo wa dhehebu lingine akikuuliza utajibu Allah ni muanzilishi. Huwa una akili sawa sawa?
Ndio Allah ni muanzilishi wa masanamu
 
Ndio Allah ni muanzilishi wa masanamu
Waambie hapo seminary wakupe kazi hata za kufua chupi za masista. Muda wote huku unashinda kubishana 24 hours kwa vitu vya uongo hata kwa mtu asiyekuwa muislamu akiangalia rejea anajua kichaa unachangamsha genge.
 
 
Hujasomeka
 
Wewe kaa huko huko wanakofufua wafu. Kaa huko huko usije ukaumwa wakashindwa kukutoa mapepo. Kaa huko huko. Ukakamuliwe na wanaoongea na Mungu kwenye ndoto, wanaotoa pepo na kushindwa kuponya vilema. Kaa huko.

Upade huu unaousimanga hauhitaji msaada wako. We nenda huko ukanene lugha zisizo na kanuni. Lugha isiyo na kanuni, silabi, vitenzi n.k. Kanene tu kwa kumsingizia Roho Mtakatifu.

Msalimi Kakobe, Mwamposa, Gio Devi, Bulldozer waambie umesimanga upande mwingine. Farijianeni kwamba sisi tulio upande wa pili tutachomwa ila nyinyi mmeandikwa kwenye daftari la Mbinguni.

Ubarikiwe
 
Shetani yuko kazini. Yani unaweza kusoma nyuzi hata kumi kwa siku zinakandia dini na imani za watu kwenye kusali na jinsi ya kuamini. Ila huwezi kukuta mtu anasema ushirikina na kafara za damu ni kitu kibaya wakati kinafanyika sana tu.

Mbona ni kama mnatumia nguvu nyingi sana kufanya watu wajione wanaabudu ujinga?

Na jf imenifundisha kitu kuwa group watu wote sawa hata nnapoishi katika mazingira ya kawaida. Maneno yako na mawazo yako yata determine nikuweke kwenye kundi la wenye akili au wasindikizaji.

Kuna mtu anajiita great thinker anasema anashangaa kuona professor anamuomba mtu alie juu kuwa atamshukia sijui anaona kama Mungu ha exist. Ila kwenda kutikisa viungo mwa waganga huwa mnaamini mtasaidika? What a shame.

Wewe kama unaona imani za watu ni ujinga wakati zinawaponya basi zip it. Deal na linalokuhusu. Na mkumbuke tu kwamba RELIGION IS A RELATIONSHIP BETWEEN YOU AND YOUR GOD.
 
Hii nayo kali,kwamba Mungu naye ana mama kama sisi wanadamu?
Tunakosea sana kumuomba Maria.
Kwamba kumpelekea Mwamposa Tsh 100,000/= akuombee siyo kosa?

Au kwa sababu anajiita mtume?
 
Unatokaje nje wakati wewe ndie umeweka sanamu , nenda kafute kama haviendani na Uzi

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Hayo ni maoni yako binafsi sijaona hata mtu mmoja akinikosoa kuwa nimetoka nje ya uzi na nilichokiweka kinahusiana moja kwa moja na uzi ,ndio maana hata wenzako wengi wamesapoti sababu wameona ni ukweli.

#Nimemaliza
 
Hayo ni maoni yako binafsi sijaona hata mtu mmoja akinikosoa kuwa nimetoka nje ya uzi na nilichokiweka kinahusiana moja kwa moja na uzi ,ndio maana hata wenzako wengi wamesapoti sababu wameona ni ukweli.

#Nimemaliza
Ndio na Koran inasaposti ulichotuma moja Kwa moja

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
 
Nyani anasali?
 
Ndio na Koran inasaposti ulichotuma moja Kwa moja

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Siko hapa kuharibu malengo na na dhamira ya mtoa nada ambayo ni kuelimisha wakiristo wenzake kuhusu jambo analoliona sio Sawa, sasa mimi nikianza kuweka vifungu vya Qu'ran na kuanzisha majadiliano mengine nitakuwa simtendei haki mwenye huu uzi mchungaji Execute .

Nb: Hiyo ni taarifa fupi maana usije ukashangaa kuona nakupuuza labda ukahisi kutokana na ujinga wako ,kama jambo hilo linakuuma na unaona ni very sensitive issue fungulia uzi kama alivyofanya mwenzako.

#SasaNdioMwisho#MwishoKabisa

#AhsanteKwaKushiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…