Kwahiyo mimi leo nikiandika kuhusu kifo cha Nyerere yatakuwa ni mapokeo au facts? Walioandika habari za Yesu walikuwa mashuhuda (isipokuwa Luka) hivyo sio mapokeo bali ni facts.Haya shikilia hapa kwanza. Je, 54 AD na 90 AD zilikuwa bado ni nyakati za Yesu? Kama enzi za Yesu zilikuwa zimeshapita, hayo sio mapokeo?
Inategemea na umri wako maana Nyerere amefariki miaka 23 iliyopita. Kama ulikuwa na akili timamu wakati akipigania uhuru miaka hiyo ya 1950s na ulishuhudia, basi sio mapokeo.Kwahiyo mimi leo nikiandika kuhusu kifo cha Nyerere yatakuwa ni mapokeo au facts? Walioandika habari za Yesu walikuwa mashuhuda (isipokuwa Luka) hivyo sio mapokeo bali ni facts.
Huo ulikuwa ni mfano na nimeongelea kuandika kuhusu kifo cha Nyerere na sio harakati za kupigania uhuru. Mimi kwa umri wangu nikiandika juu ya kifo cha Nyerere itakuwa ni facts kwasababu nilikuwa kijana mwenye kujitambua miaka ile.Inategemea na umri wako maana Nyerere amefariki miaka 23 iliyopita. Kama ulikuwa na akili timamu wakati akipigania uhuru miaka hiyo ya 1950s na ulishuhudia, basi sio mapokeo. Lakini kama umesoma katika historia kuwa alikuwa akipigania uhuru miaka hiyo ya 1950s, basi hayo kwako ni mapokeo. Sasa baada ya maelezo hayo ujipime, kama harakati za kupigania uhuru za Nyerere kwako ni mapokeo au ulishuhudia ukiwa na akili za mtu mzima miaka hiyo
NB: Mimi miaka hiyo nilikuwa sijazaliwa, kwangu harakati za uhuru nikiziandika nitakuwa ninaandika mapokeo
Mtoa mada kanyofoe kwanza vifungu hivi kwenye Biblia(yaani Biblia yako ije ambayo haina haya maandiko) alafu ndio uje na msimamo wako tumalize ubishi😀😀kasome kwanza Luka 1:26-28, Luka 1:39-45, Luka 1:8, Wafilipi 2:8-11
Viweke hapa hivyo vifungu halafu iweke na ile sala ya maria awaombee sasa na saa ya kufa kwenu tuone kama vinaendana.Mtoa mada kanyofoe kwanza vifungu hivi kwenye Biblia(yaani Biblia yako ije ambayo haina haya maandiko) alafu ndio uje na msimamo wako tumalize ubishi😀😀
Watoto wako nao watayachukuliaje maandiko yako, kwamba walishuhudia kifo cha Nyerere au kama mapokeo kutoka kwa mzazi wao?Mimi kwa umri wangu nikiandika juu ya kifo cha Nyerere itakuwa ni facts kwasababu nilikuwa kijana mwenye kujitambua miaka ile.
Mimi sikuwepo wakati wa mkutano wa Berlin lakini uwepo wa ule mkutano ni fact na sio mapokeo.Watoto wako nao watayachukuliaje maandiko yako, kwamba walishuhudia kifo cha Nyerere au kama mapokeo kutoka kwa mzazi wao?
Kama definition yako ya mapokeo ni hii, basi tuishie hapa kwa ishu ya 'mapokeo' maana tunaelewa tofautiMapokeo ni tamaduni za watu ambazo zinataka kufanywa sheria na hatimaye kuzipinga hata sheria za Mungu.
Kwako ni upotofu.. lakini kwao si upotofu..
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Wewe ni mweupe kweli, Constantine alianzisha Kanisa kivipi wakati alikuta Kanisa? Aliundaje? Alipounda hilo Kanisa, Kanisa Katoliki ambalo lilikuwepo tayari liligawanyika au aliteua maaskofu wake wapya kikazaliwa kitu kipya?Hata historia ya kanisa huifahamu. Kuna tofauti kati ya catholic (kanisa la ulimwengu) na roman catholic (mkusanyiko wa wapagani wanaojiita kanisa).
Constantine ndio aliyeanzisha roman catholic ambayo ilikuwa corrupt tangu inaanza na kipindi inaanzishwa tayari biblia ilishakuwa iko kamili ikiwa na vitabu 66 alivyovifanyia compilation Jerome.
Sio kweli, Marko imeandikwa AD 54 na injili ya mwisho ya Yohana inakadiriwa ilikuwa imeshaandikwa kufikia AD 90.
Nyaraka ndio ziliandikwa mapema zaidi maana Paulo alikufa mwaka 64AD na hapo alikuwa ameshaandika zote zakwake hadi mtume Petro tayari alikuwa amewahi kuzisoma kabla hajaandika nyaraka zake na ukumbuke mtume Petro naye alikufa around AD 64 na 66.
Kwahiyo nyie mmeamua kufuata yale yasiyoandikwa ambayo hayajulikani?,[emoji23] Hebu acheni uasi, mnaongeza maneno na hukumu yenu inaongezeka.
Tatizo watu hawapendi kuambiw ukweli kuwa dini zililetwa na wakoloni ili kututawala huo ndio ukweliNilidhani unashangaa professa kusali kabisa.
Yani mtu amesoma halafu bado anaamini akifumba macho kuna invisible man hewani huko juu ya mawingu anamsikiliza na atakuja kumsaidia???
Kweli sisi bado tuna unyani fulani ndani yetu.
Ndomaana wanasema DNA ya Binadamu na ya nyani vinapishana 2% tu
Kuwalinda dhidi ya nini?Kwani huyo Maria ana mamlaka ya kuwalinda wanadamu?, naomba andiko
Alichofanya Constantine ni kutangaza kwamba ukristo umekuwa imani official ya roman empire hivyo kila mtu ni lazima awe mkristo.Wewe ni mweupe kweli, Constantine alianzisha Kanisa kivipi wakati alikuta Kanisa? Aliundaje? Alipounda hilo Kanisa, Kanisa Katoliki ambalo lilikuwepo tayari liligawanyika au aliteua maaskofu wake wapya kikazaliwa kitu kipya?
Bikra Maria hakutumika bali alishiriki umwilisho wa Mwana wa Mungu na alimzaa kwa uchungu na kumnyonyesha huyo Yesu ambaye ni Mtu kweli na ni Mungu kweli.No wonder mnapenda kumuita mama wa Mungu wakati mnajua fika maria hakumzaa Mungu bali alitumika tu kutengeneza mwili.
Na hawa watu wa aina hii tunawafehemu.Dini ni mfumo wa mahusiano kati ya Mungu na mwandamu.
Nisuala la hiari na kuamini, sasa sidhani kama kuna umuhimu wa kuingilia Imani ya mtu mwingine kama wewe hakudhuru kwa Imani yake.
Hakupigii makelele na wala hakufanyi ushindwe kupata mlo wako.
Nadhani mtu anaehangaika na Imani za watu wengine ambao hawajahangaika na Imani yake anakua anashida ya kutaka kila mmoja awe na Imani kama yake na huo ni udikteta kwenye nchi yenye Uhuru wa kuabudu.