Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Shida yako ni Muft au Walimu wa Madrasa? Au una chuki nyingine umeona upitie kwenye mgongo wa huyo mnaemwita Muft?
 
Kupatiakana na kesi ya kujibu sio kupatikana na hatia. Tusubiri uamuzi wa mwisho.
 
Nilipewa wosia na Mzazi wangu kwamba kama unaiamini na kuipenda dini yako basi usitukane dini za wengine kwa maana ukitukana nao wataitukana hiyo dini yako !!
Wosia makini sana huu mkuu!
 
Kwa hadhi yako JF hukupaswa kutukana dini ya wenzio Kwa sababu tu muumini mmoja wa dini hiyo kakuudhi.

Ni upungufu wa Hekima kutumia reference ya Mtu mmoja kutukana watu wengi.
 

Mkuu kwanza ungebadilisha jina Hilo Hapo juu. Unalitia najisi. Una matatizo makubwa sana ya akili.
 
Kwa comment hizi, kumbe Mbowe anaonewa kwa sababu ya dini yake🙄
 

Ujinga mzigo, unamlaumu mwenzako kwa kuidharau Elimu ya madrsa wakati huo huo unaidhalilisha Sunday school.
 
Kwa hadhi yako JF hukupaswa kutukana dini ya wenzio Kwa sababu tu muumini mmoja wa dini hiyo kakuudhi. Ni upungufu wa Hekima kutumia reference ya Mtu mmoja kutukana watu wengi.
Kweli kabisa mkuu, nakubaliana na wewe!
 

Hakuna Mkristo mpunbavu Hivi. Labda atakuwa anaumwa. Wakristo tunefundishwa kuheshimu imani na dini za watu wengine. Sembuse Mufti ambaye Ni kiongozi mkubwa.

Kitu ambacho mkuu hujakiona kwa wengi wa aina hii Ni uchama chama. Amefikia kumwita MUfti CCM. sijui alimpa kadi lini. Na mfano angekuwa CCM. What’s wrong with that. Si ndo Demokrasia na uhuru wa kuchagua. Kwanini Demokrasia yako tu ndo iwe Bora kuliko mwingine.

Kwanini kuwe na chuki tu for the sake of chuki. Yeye Mufti sio Mahakama. Anajuaje kuwa kesi ya Ukweli au ya kubambikia. What about Lissu. Je naye ni MCCM.

Wengi wameingia Siasa kimhemuko sana. Kuna watu kibao wako jela mbona Hakuna maneno mengi. Ifike wakati mkitaka Siasa fanyeni Siasa. Eti Professor
 
Mkuu usiwatoe wachangiaji kwenye reli. Unataka watu waanze kushambuliana Kwa Imani zao badala ya kushambulia hoja.

Sent from my Nokia 7 plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi kumbe gaidi ni rahisi kusamehewa kiivyo kweli tanzania ina mambo ya ajabu.ko osama bi laden alikuwa gaidi nini kilitokea ivi mnacheza na ugaisi.ninacho jua mbowe siyo gaidi mambo ya katiba mpya ndoo chanzo cha yote.
 
Mimi ningependa kesi hii ya kina Mbowe iendelee ili kuwafurahisha wale wote wapenda dhuluma na uonevu.

Sent from my Nokia 7 plus using JamiiForums mobile app
 
Sheria ya hivo ingekuwepo wengi wangejitokeza.
Tuombeni mwamba atoke gerezani kwanza hayo malalamishi mengine yatajadiliwa akiwa huku uraiani !! Nyie mmekaa mnachochea kuni huku mnagida lager acheni hizo bandugu !! Tunajenga nyumba moja inayoitwa Jamhuri ya muungano wa Tanzania !!
 
Hivi kumbe gaidi ni rahisi kusamehewa kiivyo kweli tanzania ina mambo ya ajabu.ko osama bi laden alikuwa gaidi nini kilitokea ivi mnacheza na ugaisi.ninacho jua mbowe siyo gaidi mambo ya katiba mpya ndoo chanzo cha yote.
Tunamuombea atoke kwanza aje huku nje waliko familia yake kisha yale mengine yanazungumzika mkuu !!
 
Tuombeni mwamba atoke gerezani kwanza hayo malalamishi mengine yatajadiliwa akiwa huku uraiani !! Nyie mmekaa mnachochea kuni huku mnagida lager acheni hizo bandugu !! Tunajenga nyumba moja inayoitwa Jamhuri ya muungano wa Tanzania !!
Huo ni msimamo wa mbowe na nimsimamo wa familia kama hujui.
Lakin Mbowe hawezi kutoka kwa gharama ya kuomba msamaha au kuombewa msamaha
kwa kosa ambalo sio lake.
Hao wangeomba haki itendeke.
 
In our country, "The MUFTI" is as senior as any senior political leader. Mbali na hivyo umri wake pia unampa seniority ya juu mno kiasi kwamba mtoto mdogo kama wewe hukustahili kwa namna yoyote ile, kumu-attach kwa kiwango hiki na kwa lugha hii, hata kama kwa maoni yako unamuona kuna mahali hajaenda sawa.

Nadhani kuna haja ya watoto kuwa mnakuwa waangalifu na lugha za kutumia pindi mnapokuwa mna-table hoja zenu zinazohusiana na watu ambao ni very senior.

Kumbuka pia Uongozi wa juu kabisa wa nchi hii unawaheshimu sana hawa watu, halafu wewe ni nani unayeibuka tu na lugha zako za mitaani kuanza kuwashambulia kisa kwa maoni yako tu unaona wamekosea?

Assuming Mahakama inaamua kumsamehe Mbowe, je ikitokea hivyo utaenda kwa MUFTI ukamuombe msamaha kwa upupu huu ulioandika hapa?
 
Kubali tu nyie ni watu wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…