Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Huo ni msimamo wa mbowe na nimsimamo wa familia kama hujui.
Lakin Mbowe hawezi kutoka kwa gharama ya kuomba msamaha au kuombewa msamaha
kwa kosa ambalo sio lake.
Hao wangeomba haki itendeke.
Kwahiyo unataka mwamba aendelee kukaa ndani mpaka lini ?? Maana kesi za namna hiyo huwa ni ngumu sana kufikia mwisho wake kwa muda mfupi, rejea kesi nyingi tu zilizoanzishwa na marekani kisha utagundua zilichukua miaka mingi bila hukumu kutolewa na mwisho wake baadhi ya kesi zikafutwa na watuhumiwa wakarejeshwa katika nchi zao, kwahiyo sio busara kuchochea kuni katika jambo hilo !! Think from outside the box utaona ubishi wakati MTU anateseka haina maana yeyote !!
 

Povu! Baada ya 💉 kuingia vizuri sehemu husika.
 
Huu sio msimamo wangu tu ni msimamo wa familia pia.
Huwezi kumkamata mtu ambaye hana viashiria hata kimoja vya ugaidi umpe kesi
ulazimishe akuombe msamaha Mandela alitakaa kuomba msamaha wa kama hii ili awe huru
huko ni kuipoteza nafsi yako "itamfaa nini mtu yule atakaye ipata dunia yote na kuipoteza roho yake?".
 
Dada FaizaFoxy nilikumiss sana. 🙂
 
Aisee kweli hasira huondoa hekima na busara. Wewe wakuandika ujinga huu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Waislamu mjitafakari sana.
 
Una msongo wa mawazo

Hii ni stress mbaya sana

Mpaka Leo umekuwa mtu mzima bado unaandika kama mtoto wa chekechea

Hakika una msongo wa mawazo
Ntashukuru mkuu kwa kuliona hilo. Huyo bibi sijui kapatwa na nini, ajabu sana hii.
 
Hivi wewe una ushahidi gani kwamba hiyo ni keso ya kubumba?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Unamwombea msamaha kwa kosa lipi ndugu? tunaomba maelezo
 
FaizaFoxy!

Nimekupenda bure!......

"Wape Wape Vidonge Vyao Wakimeza Wakitema Shauri Yao!"

Punguani Wahed!

Kelb Wahed!

Sent from my P00C using JamiiForums mobile app
Faiza Foxy habipiwi,Uki mbipu tu lazima akupigie!! Hahahaha!! Usiguse kabisa hata kwa bahati mbaya Dini yake,hasa ukiwa wa upande wa pili katika Imani!! Ila pale wale wote Viongozi wa Dini wangemuombea Mbowe special dhamana,alafu huku kesi iendeleee kila upande utimize majukumu yake kwa haki bila shinikizo kutoka nje ya mfumo wa haki! Hapo namzungumzia DCI,DPP na Mahakama wote wafanye kazi yao kwa Waledi na Viapo walivyokula, maana Viapo ndiyo Karma yenyewe,Kama kitu hukiwezi bora usikifanye,au mtafute anaeweza kukifanya kwa ufasaah!!
 
Mkuu Koboko naona unaanzisha mada ya kushambulia viongozi wa dini kwa kutumia kivuli cha Mbowe. Huu ndio unaitwa uchonganishi. Achana na mawazo haya yanayoharibu amani ya nchi.
 
Reactions: Tui
Makosa ya Prof Koboko na wewe unayarudia. Kutukana uislam kwa mawazo ya mtu binafsi siyo haki kama ambavyo na wewe unaingia kwenye mtego wa kutukana ukristo kwa ujinga wa mtu mmoja hata kama ni Padri. Tatizo kuna watu husubiri nafasi ya kutema nyongo ya chuki dhidi ya kundi moja kwa kujificha kwenye generalization.
 
Astaghafillulah !!
 
Well, let's wait and see !! Lakini Mimi msimamo wangu Akiwa nje itapendeza sana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…