Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la mwenyez mungu linaweza kutumika na kitu Chengine likawa na maana tofauti.
Haya ni majina matatu ambapo mawili ni ya baba na ukoo au ni jina moja lina vipengele vitatu?Jina la mwenyez mungu linaweza kutumika na kitu Chengine likawa na maana tofauti.
kuna watu wanaitwa Abdala (Abdullah, Abd Allah) ikimaanisha Mja wa mwenyez Mungu.
Hilo Yahia ni Yahya (ikimaanisha Mungu ni mwenye rehema)
Attiya inamaanisha zawadi
Allah ni jina la mungu.
Hapo kiswahili ni kama umesema zawadi toka kwa mungu.
Hakuna tatizo , ukielewa maana yake kwa ujumla wake , siku nyingine huwezi kuulizaKumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
View attachment 2245011
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Attiyat Allah ni Jina moja. Hilo ni jina la Kiarabu lililotafsiriwa kiingereza.Haya ni majina matatu ambapo mawili ni ya baba na ukoo au ni jina moja lina vipengele vitatu?
Tungeandika Zabronhamis, hili ni jina moja. Tukiandika Zabron hamis (kwa kanuni za uandishi wa majina) ni jina moja. Lakini Zabron Hamis, ni majina mawili tofauti. Aatiyahallah (kama ilivyo kwa kina Abdallah) ni jina moja. Lakini Aatiyah Allah, ni majina mawili tofauti nikimaanisha kila jina linajitegemea.Attiyat Allah ni Jina moja. Hilo ni jina la Kiarabu lililotafsiriwa kiingereza.
Hahahahahah unashangaza na kuchekesha wakati huo huo? Hivi Tanzania hii unawafahamu akina Abd"Allah" wangapi"?Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
View attachment 2245011
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Hahahahahah unashangaza na kuchekesha wakati huo huo? Hivi Tanzania hii unawafahamu akina Abd"Allah" wangapi"?
Hilo jina linaanzia hapo kwenye "Attiyat "wengine huliandika au kulitamka "Attiyah". Neno hilo linamaanisha zawadi (yenye thamani)> Atiiyat- Allah ni zawadi kutoka kwa Allah.
Hakuna kipya hapo ila ni "exposure" finyu tu ya mleta mada.
Naam, Hayo ni katika kuelezea na kuweka uhalisia. Ni nama ya maandishi na matamko. Hayo majina yote yanaandikika vizuri sana kwa lugha yake asili iliyokamilika, Kiarabu.Space Abd Allah na Abdallah
Labda hujaupitia uzi vizuri, umekurupuka.Waarabu wa bongo wamekua wapoleeee daah sasa huyo jamaa angekua bongo au nijeria wangemlazimisha abadili jina la sivyo mawe na kiberiti vingemhusu
Naam, ni kama ‘Abdur Rahmaan ni jina moja likimaanisha Mja wa Mwingi wa RahmaAttiyat Allah ni Jina moja. Hilo ni jina la Kiarabu lililotafsiriwa kiingereza.