Nimeshangaa sana kuona mchezaji wa Wydad Casablanca anaitwa Allah

Nimeshangaa sana kuona mchezaji wa Wydad Casablanca anaitwa Allah

Allah ni neno la kiarabu lililotumika kutaja (utaweka mwenyewe)
Sasa sioni kama ni vibaya mtu kuitwa jwa jina hil
Gabriel Jesus
Hapo kuna jina la malaika na la mwana wa Mungu huku yeye mwennyewe akiwa ndiye Mungu mwenyewe
Hata hivyo kuna mshikaji,anaitwa MLUNGU"Kilugha"ikiwa na maana ya MUNGU, Nagikiri ni mapokeo ya jamii//
 
Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?

Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.


View attachment 2245011


Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai


Hilo jina la mwisho wanakosea kuliandika katika herufi za kilatini, ilitakiwa liandikwe hivi; "Attiyat allah" na sio "Attiyat Allah"--- Allah ni jina maalum la Mungu hivyo kutofautisha jina hilo maalumu na umilikishi wake hilo jina Alliyat inatakiwa lifuatiwe na suffix "allah" na sio "Allah" .

Ni Kwanini kati ya majina Attiyat na Allah kuna nafasi??--- jibu ni kwamba katika lugha ya Kiarabu herufi ة siku zote hukaa mwisho wa neno (jina) na haikai mwanzo au katikati ya neno hivyo kama jina Attiyat lingeunganishwa na jina Allah kama ilivyo katika jina Abdallah (Abd+ Allah) hapo kanuni ya ة ya kukaa mwisho wa neno ingevunjika.hivyo hilo jina la huyo mchezaji linatamkwa Attiyatallah yaani Zawadi kutoka kwa Allah.
 
Back
Top Bottom