Nimeshangaa sana kuona mchezaji wa Wydad Casablanca anaitwa Allah

Nimeshangaa sana kuona mchezaji wa Wydad Casablanca anaitwa Allah

Wewe kwenye profile uko uchi kwa mujibu wa dini. Unatakiwa upigwe mawe hadi kufa. Huna hadhi ya kujibia uislamu.
Ila wewe una haq ya kujibia uislamu!?

Naona hata hizo haq na wajibu katika usilam pia huzijui
 
Tungeandika Zabronhamis, hili ni jina moja. Tukiandika Zabron hamis (kwa kanuni za uandishi wa majina) ni jina moja. Lakini Zabron Hamis, ni majina mawili tofauti. Aatiyahallah (kama ilivyo kwa kina Abdallah) ni jina moja. Lakini Aatiyah Allah, ni majina mawili tofauti nikimaanisha kila jina linajitegemea.
Issue ni kwamba jina Ni la Kiarabu limeandikaa Kingereza. Hio tafsiri ndio inaleta mkamganyiko

Na pia Inawezekana ikawa jina Moja kuwa na nafasi mfano Aliekuwa waziri wa mambo Ya nje jina lake ni Asha-Rose Migiro na sio Asharose.
 
Mkuu japo umetoa maelekezo marefu lakini mleta mada kasema jamaa anaitwa Allah bila kuweka jina jingine mbele yake kama unavyotolea mfano. Ndo mantiki ya post yangu.

Jina ni zuri halina ubaya wowote
Deborah alikosea na bahati mbaya alikutana na Waislam wajinga wenye jazba. Ni fundisho kuwa usifanye jambo la kijinga mbele ya Waislam wajinga wenye jazba, kiukweli watakuumiza.

Hilo jina sio baya, hujaelewa vizuri tu mkuu. Wanaofahamu kiarabu wanaelewa. Huyo mchezaji hilo jina lake la pili lililomchanganya muanzisha uzi ni عطية الله (‘Atwiyatullah) likimaanisha “Zawadi ya Allah” au “Kilichotolewa na Allah” Kimemchanganya namna lililovyoandikwa kwa herufi anazozielewa akadhani amepata hoja ya kuja kubishana hapa jukwaani. Ni kama عبد الله katika herufi za kilatini kuna wanaoandika Abdullah kuna wanaoandika Abd Allah. Sasa mleta mada akiona “Abd Allah” atasema huyo mtu kaitwa Allah. Haelewi.

Kilichokatazwa ni mtu kuitwa majina ambayo ni maalum kwa ajili ya Allah tu. Mfano haifai mtu kuitwa Allah au akaitwa Al-Ahad (Mmoja Pekee) au Ar-Razzaq (Mwenye kuruzuku) au Al-Khaaliq (Muumbaji) na mengine mfano wa hayo.

Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alimbadilisha mtu aliyesilimu aliyekuwa akiitwa Abul-Hakam (baba wa Hukumu) akimwambia kuwa Allaah Pekee Ndiye Mwenye sifa hiyo ya Al-Hakam, na Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akamuuliza kama ana watoto na majina yao, yule mtu akataja wanawe watatu, Shurayh, Muslim na 'Abdullaah. Basi Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akamwambia: “Kuanzia leo wewe ni Abuu Shurayh.” [Abu Daawuwd].

Lakini yapo majina ambayo ni sifa za Allah lakini pia ni ya Wanaadamu. Mfano jina Maalik (Mfalme). Hilo yafaa kumpa mtu.

Wanaopewa majina ya Allah hutanguliwa na “Abd” yaani “Mja”. Mfano Abdullah (Mja Wa Allah) au ‘Abdur Rahmaan (Mja wa Mwingi wa Rahma) au Abdur Razzaq (Mja wa Mwenye Kuruzuku) na kadhalika.
 
Nimewaelewa ndgu FaizaFoxy na wadau wengine waliochangia.

Ila tu mpunguze kuwajibu vibaya waulizao, ila majibu yenu yanaeleweka labda tu wakaze ubungo.

Tuulizao tusiulize kwa dhihaka kama twataka kujua kweli.
 
Mbona hujaweka picha ya jezi umeweka picha Google?weka jezi hapa
Ingia YouTube uangalie marudio, sina muda sasa hivi.

Nilipoona jina kwenye jezi ndio nikaingia google kujua jina lake kamili.
 
Lazima kuna tatizo, ndo maana tujawahi kusikia Mtanzania anaitwa Allah katika mamilioni ya Waislam nchi hii. Muhammad wapo, Issa, Mariam, Khadija. Allah, never.

Sema hapa tumekwama, hatuwezi kumkosoa Mwarabu mwenye dini yake.
Kwani hayo majina ya Kiislam au ya Kiarabu?
 
Itakuwaje huyo mchezaji akiwa mbakaji? Watu watasema Allah Kabaka.
Ile meli ilichukua watumwa kwanza Afrika kuwapeleka Ameika ikiitwaje vile? Sasa huyo mwenye hilo jina ndio kabeba watumwa?

Hapo sasa.
 
Hahahahahah unashangaza na kuchekesha wakati huo huo? Hivi Tanzania hii unawafahamu akina Abd"Allah" wangapi"?

Hilo jina linaanzia hapo kwenye "Attiyat "wengine huliandika au kulitamka "Attiyah". Neno hilo linamaanisha zawadi (yenye thamani)> Atiiyat- Allah ni zawadi kutoka kwa Allah.

Hakuna kipya hapo ila ni "exposure" finyu tu ya mleta mada.
Hapa umeeleweka
 
Aiseee nyani haoni kundule soma kichwa cha uzi ni Allah bila kupandikiza jina jingine
Ilio ni jina moja "Attiyat Allah"
Chiki hapo
Screenshot_20220531-134438.jpg


Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom