CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Jina halisi ni ABDUL RAHMANRahman ni jina na halina ukakasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina halisi ni ABDUL RAHMANRahman ni jina na halina ukakasi.
Ni jina moja kivipi ?Hakuna Muislam anaitwa Allah. Kwa sababu ni Haramu kwa mtu kuitwa hivyo. Hilo jina la huyo mchezaji ni jina moja. Jamani someni au hata muulize basi.
Elewa kuwa ‘Attiyatullah ni jina moja kama vile ‘Abdullah lilivyo moja. Na Waarabu ndivyo wanavyolitamka. Hivyo ulivyoliandika ni matamshi ya Wazungu. Ni kama ‘Abdullah wengine wanavyoliandika Abd Allah (kutokana na matamshi yao). Au Hibatullah wazungu huliandika Hibat Allah. Sasa mfano mtu anayeitwa Ahmad ‘Abdullah akaandikwa Ahmad Abd Allah wewe utasema ni majina matatu? Nadhani utakuwa unenielewa. Kama hujaelewa hapo basi tena.Ni jina moja kivipi ?
YAHIA ATTIYAT ALLAH
MBWANA ALLY SAMATTA
Jina la mwisho ALLAH
Tusome vizuri vipi tena ?
Sio mimi niliyeandika...Elewa kuwa ‘Attiyatullah ni jina moja kama vile ‘Abdullah lilivyo moja. Na Waarabu ndivyo wanavyolitamka. Hivyo ulivyoliandika ni matamshi ya Wazungu. Ni kama ‘Abdullah wengine wanavyoliandika Abd Allah (kutokana na matamshi yao). Au Hibatullah wazungu huliandika Hibat Allah. Sasa mfano mtu anayeitwa Ahmad ‘Abdullah akaandikwa Ahmad Abd Allah wewe utasema ni majina matatu? Nadhani utakuwa unenielewa. Kama hujaelewa hapo basi tena.
Angalia hapo katika Last name acha upopomaAliyeruka mstari sio mjinga. Mfano John Pombe sio jina moja hapo
Wanafuata mkumbo hata waarabu wenye dini yao wanawashangaa[emoji23][emoji23]Waarabu wa bongo wamekua wapoleeee daah sasa huyo jamaa angekua bongo au nijeria wangemlazimisha abadili jina la sivyo mawe na kiberiti vingemhusu
Angalia hapo katika Last name acha upopoma
Mbona majina mengi tu unaruka mstari mf:Abdul Rahman
Abuu Bakary
Abuu Twalib
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Kimsingi nilitaka kuelewesha watu tu. Kama unataka kubishana, hapa umepotea, subiri wenzio.Sio mimi niliyeandika...
Nimenakili tu...
Jersey yake imeandikwaje ?
Hayo yote ni majina LAKINI ni tofauti na jina lizidilo majina yote, jina lenye nguvu ya Mungu - YESU KRISTO! Hili Jina linazidi majina yote kwani lina nguvu na uweza na uwezo wa ajabu. Hii ni kwa IMANI, kama huamini au hukubali BASI!Allah ni neno la kiarabu lililotumika kutaja (utaweka mwenyewe)
Sasa sioni kama ni vibaya mtu kuitwa jwa jina hil
Gabriel Jesus
Hapo kuna jina la malaika na la mwana wa Mungu huku yeye mwennyewe akiwa ndiye Mungu mwenyewe
Na wewe ujifunze kuleta na kujadili mijadala kwa adabu na heshima ,mara kibao nakuona kwenye nyuzi mbalimbali ukileta kejeli kwa waislamu na Uislamu tofauti na wengine wanapotaka kujifunza au kujua jambo hivyo usitake haki na heshima upewe wewe ilhali wewe huwezi kuwapa wenzako.Angalau wewe umeomba msamaha, ni muungwana.
Jitahidini kudhibiti hisia zenu. Mijadala hii inasaidia kuongeza ufahamu.
Sio mimi niliyeandika...
Nimenakili tu...
Jersey yake imeandikwaje ?
Mnatakiwa kufahamu Fifa hawaruhusu kuandika kwa lugha Yoyote jezi ila tu utumie latin script.Aliyeruka mstari sio mjinga. Mfano John Pombe sio jina moja hapo
Mh. Nafikiri wenye weledi zaidi yangu wamekujibu.
Nimekutumia mpaka picha Bado hauwelewi.Hamjui kujenga hoja bila matusi. Ndo nimeshaandika hivyo haifutiki
Nimekutumia mpaka picha Bado hauwelewi.
Cha ajabu unabishana wakati haujui
Huwezi kukuta hata sehemu moja nimemtukana mtu. Kuna muda wa utani na unabaki kuwa utani na kuna muda tunajenga hoja. Changamoto huwa waislamu uvumilivu unakuwa mdogo pale mnapoletewa challenge nzito kwenye imani yenu.Na wewe ujifunze kuleta na kujadili mijadala kwa adabu na heshima ,mara kibao nakuona kwenye nyuzi mbalimbali ukileta kejeli kwa waislamu na Uislamu tofauti na wengine wanapotaka kujifunza au kujua jambo hivyo usitake haki na heshima upewe wewe ilhali wewe huwezi kuwapa wenzako.
Samahani nipo nje ya mada.Asante mkuu,Debora aliniuma mno kaonewa sana
Ni jina la kawaida kwa waelewa na wastaarabu ila kwa wale wakurupukaji wafia dini ni dhambi kubwa mno kwao hata kulitamka tu wakati sio dini yao wanaona unataka shari
Samahani nipo nje ya mada.
Ni Deborah yupi?
Inasikitisha sana!Kuna binti(mwanafunzi wa chuo)walimuua nigeria baada ya kuwakataza wasitume masuala ya dini kwenye group la masomo akatuma voice notes kuwasisitiza zaidi wakasema kamtukana mtume wao,wakamchoma moto maeneo ya hapo chuoni
Jesus ni la kawaida kama ilivyo Kwa Mohamed/ Muhammad. Ila Mungu, sio kawaida.Allah ni neno la kiarabu lililotumika kutaja (utaweka mwenyewe)
Sasa sioni kama ni vibaya mtu kuitwa jwa jina hil
Gabriel Jesus
Hapo kuna jina la malaika na la mwana wa Mungu huku yeye mwennyewe akiwa ndiye Mungu mwenyewe