Labda hujaupitia uzi vizuri, umekurupuka.
Hahahahahah unashangaza na kuchekesha wakati huo huo? Hivi Tanzania hii unawafahamu akina Abd"Allah" wangapi"?
Hilo jina linaanzia hapo kwenye "Attiyat "wengine huliandika au kulitamka "Attiyah". Neno hilo linamaanisha zawadi (yenye thamani)> Atiiyat- Allah ni zawadi kutoka kwa Allah.
Hakuna kipya hapo ila ni "exposure" finyu tu ya mleta mada.
Na wewe sasa unaendeleza na kuutangaza ufinyu wako wa uelewa.
Soma hii mada;
Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha