chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Hilo ni kosa kiislam,kumbuka sio warabu wote ni WaislamWaarabu wameandika jina kwenye jezi Allah, sio hilo unalotaja wewe.
Labda huyo aliechapisha jina kwenye hiyo fulana sio Muislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni kosa kiislam,kumbuka sio warabu wote ni WaislamWaarabu wameandika jina kwenye jezi Allah, sio hilo unalotaja wewe.
Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
View attachment 2245011
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Picha ya Jezi pleaseIle jezi ya mchezaji imeandikwa jina moja Allah ni google pale?
Hilo ndio sawasawa na Allah?Abd Allah nae hujasgangaa?
Angalia marudio ya mechi ya jana YouTube utaona. Sina muda wa kutafuta saa hizi.Picha ya Jezi please
Kuna mkristo anaitwa lile jina original la Mungu, yaani Yahweh au Jehovah?Mifano michache tu kati ya miingi
Deogratias = Tumshukuru Mungu
Jonathan = Aliyetolewa na Mungu/zawadi kutoka kwa Mungu
Hata sisi waswahilim tuna majina yanayomtaja Mungu moja kwa moja mfano Maliyamungu n.k. So tulia kwanza
Waislamu wote Morocco hawaoni kwamba kuna tatizo pale?Hilo ni kosa kiislam,kumbuka sio warabu wote ni Waislam
Labda huyo aliechapisha jina kwenye hiyo fulana sio Muislam
Hawa waarabu hawajui hili mpaka waandike Allah kwenye jezi?ABD-ALLAH
maana yake ni Mja ( kiumbe) wa Allah
so omba tafsiri ili uelewe vyema
Waarabu hawajui hili mpaka waandike Allah kwenye jezi?
Kwanini unajifanya Kichaa?Waarabu hawajui hili mpaka waandike Allah kwenye jezi?
Tumia lugha ya staha. Nimemjibu kila aliyeuliza separately.Kwanini unajifanya Kichaa?
Kwaheri.
Sababu umeomba Muongozo, huyo haitwi "Allah" . Hilo jina limeunganishwa kiasili yaani "Mwenye Kumtii Allah/Kilichotolewa na Allah".Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
View attachment 2245011
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Hawajui kuandika kwa kiingereza, ila ukiwaambia watamke utasikia ni jina moja tu kwamba "Attiyatullah" na si "Attiyatu Allah" hakuna muarabu anaye tamka hivyo.Waarabu hawajui hili mpaka waandike Allah kwenye jezi?
Mkuu mbona yapo mengi tuWaarabu wa bongo wamekua wapoleeee daah sasa huyo jamaa angekua bongo au nijeria wangemlazimisha abadili jina la sivyo mawe na kiberiti vingemhusu
Deborah alikosea na bahati mbaya alikutana na Waislam wajinga wenye jazba. Ni fundisho kuwa usifanye jambo la kijinga mbele ya Waislam wajinga wenye jazba, kiukweli watakuumiza.Asante mkuu,Debora aliniuma mno kaonewa sana
Ni jina la kawaida kwa waelewa na wastaarabu ila kwa wale wakurupukaji wafia dini ni dhambi kubwa mno kwao hata kulitamka tu wakati sio dini yao wanaona unataka shari
Ukipata huo muda uiweke hapa.Angalia marudio ya mechi ya jana YouTube utaona. Sina muda wa kutafuta saa hizi.
Wewe kwenye profile uko uchi kwa mujibu wa dini. Unatakiwa upigwe mawe hadi kufa. Huna hadhi ya kujibia uislamu.Ukipata huo muda uiweke hapa.
Si umepata muda wa kuandika uzi!!?
Na kila ukieleweshwa huelewi ni kama vile hujaja kuuliza bali umekuja kuleta ujuwaji maandazi.
Mungu ni cheo, sio jina.Kina Bizimungu hujawasikia?