Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

Sukari inaagizwa Tu pale kunapokuwa na upungufu ,Kama mpango ni kuua Viwanda vya ndani vya sukari Sawa labda wangesema kukiwa na upungufu wanunue Uganda ,

Muda sio mrefu wenye Viwanda vya ndani watalalamika
kungekuwa hakuna uhaba tungenunu kilo buku
 
Haina maana kununua sukari bei juu kwa maelezo kwamba tunalinda wazalishaji wa ndani,hii ndio nonsense yenyewe.

Kulinda uzembe na ukiritimba ni upuuzi.
Soma vizuri mada na uielewe.
Aidha ukitaka kufungua mada ya ughali na uzembe katika uzalishaji mali Tanzania, hilo ni swala lingine.
 
Mimi nasubiri tu Mama akiri dhambi hizi....am

Risasi kwa TL
MDUDE
MAWAZO
Saa 8
KUNUNUA akina WaItaRa....
Aquiline AQUELINA
AZORY
Etc...

Zipo nyingi. Akiri tu na Roho yangu itulie.TUANZE UPYA.
asipokiri nasikia dhambi ina tabia ya kutambaa kama yalivyo majani ya maboga.
 
Siyo rahisi mawaziri wa ki-Tz kujiuzulu hata angetukanwa tusi la wazi kabisa. Ujasiri huo hamnaga bongo ugali amwachie nani!
 
Hapana, nimejaribu kijizuia vimeshindikana. Huyu huwa namfikiria Kama mtu mzima mwenye busara kubwa au kijana mwenye busara, Sasa ananijibu matusi. Nikashindwa. Yameisha tusinge mbele tumtetee Mbowe asionewa
 
Profesa Mkenda Yuko sahihi 100%! Sukari iagizwe pale panapokuwa na nakisi Kati ya demand na local capacity of production, sio kuagiza tu kama mazoea kwani Hilo linauwa wazalishaji wa ndani!

SSH anong'onezwe, hapo kabugi!
ni kweli kabisa it seems there is lack of communication among them. inawezekana hata hawakuelewana wao au sisi hatujawaelewa!!!
 
Kwa hiyo hapa tatizo ni Mkenda kuambiwa Hana SENCE? Ukweli Kati ya mawaziri si Mkenda peke yake ambaye Hana SENCE, wako wengi tu akiwemo wa Fedha, wa Biashara, wa Maliasili, wa Madini na kubwa Lao Afya.
Wa afya ndie mcharuko kabisaaaaaa!
 
Bogass tu. Ukiona mtu anawabwaga ma Phd wazalendo anaweka wajuzi wa kupiga hela ya umma lazima ustaajabu. Sasa kama hakujawepo haja ya kuagiza sukari nje waziri aruhusu tu? Na mama kwa kua Museveni kaja basi ni nonsense waziri hajaruhusu kuagizwa sukari uganda. Naona hakika mama anaanza kujidhihirisha uwezo wake mdogo kuliongoza taifa letu. Au labda anatafuta kumtimua Phd aweke watu wake wajuzi wa kupiga hela ya umma.
 
Museveni hana.viwanda vya kuzalisha sukari nyingi, Uganda wanaagiza sukari kutoka Brazil na hivyo wanakua na excess ya sukari kutoka Brazil na ndio hiyo wanataka kutuuzia.
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiagize kutoka Brazil, hangaya anafeli sana
Halafu jiulize hiyo sukari inapitia bandari ipi ndiyo utapata jibu la akili za watawala wetu
 
Asilimia kidogo tu ya mizigo ya Uganda inapitia bandari ya Dar. Asilimia kubwa inapitia Mombasa
 
Binafsi nimesikitika sana na kauli iliyotolewa. Inawezekana haikuwa nia yake ila alijisahau. Kati ya Mawaziri mahiri na wazalendo ni Mhe. Professa Adolf Mkenda. Nashauri atamke kuwa alipitiwa.
 
A mistake that makes us Humble, is Better than an achievement that makes us Arrogant.
 
Binafsi nimesikitika sana na kauli iliyotolewa. Inawezekana haikuwa nia yake ila alijisahau. Kati ya Mawaziri mahiri na wazalendo ni Mhe. Professa Adolf Mkenda. Nashauri atamke kuwa alipitiwa.
Ulisikia wapi wanasiasa wa Bongo wakikosea wanaomba radhi? Ulisikia wapi?
 
Kuna mambo mengine yanahitaji decision promptly.

Lakini sielewi hapa mnataka sukari iagizwe?!? isiagizwe?
Iagizwe haraka sana, sukari hakuna na viwanda vyetu havitoshelezi, sukari kwanza mengine baadaye, hatuwezi kusubiri solution za rushwa zenu za vibali na viwanda vibovu kunywa chai na maandazi yetu
 
Unaongea ujinga, kupitisha bomba la mafuta tanzania ilikua na afaida kwao kuliko kupitia kenya, kwa hiyo usiongee pumba, unafikir wametufavor no way out. Kama kuna haya ya kuongeza mahusiano na uganda sio kitu kibaya iaipokua approach inayotumika kukashfu mawazir wake ni tajia za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…