Kama hajakuelewa hapa basi hawezi elewa tena.Waziri hana mamlaka ya kuweka sera kama yake waziri anatekeleza yanayoamuliwa na baraza la mawaziri au sera ya serikali. sasa ajibu aliambiwa na nani hatununui sukari ya Uganda au ilikuwa uamuzi wake yeye
Acha uongo. Nonsense ni upuuzi.Tatizo mmatafsiri vibaya neno Nonsense.Nonsense kwa kiswahili maana yake ni kitu ambacho hakiingiii akilini,sasa hili neno linaubaya gani?.
Tunalinda viwanda vya ndani vyenye uwezo mdogo kwa gharama kubwa sana na kwa kubebesha mzigo wananchi. Sukari ikiingia kutoka Brazil bei yake haitazidi TSH. 1800, ukilinganisha na bei ya sasa ya TSH 2600 hii si kulinda viwanda vya ndani bali ni rushwa. Mambo ya monopoly yalishaisha zamani! Kwanini tunalinda viwanda vya sukari tu na vingine vinashindana na vya nje kama kawaida. Natamani kujua viwanda vya sukari vinamilikiwa na nani maana vilibinafsishwa.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Hoja ya Fimbo ya asali imesimama. Wakati mwingine sio lazima 2+2=4.Bro ni vizuri pia ujue kuwa uganda nao wamesucrifice sana kwa kuleta bomba tanzania,hilo bomba kiuhalisia lilitakiwa lipite kenya but wao wakalileta kwetu na pia kuna benefits kubwa tunazipata kwa waganda kutumia bandari za tanzania badala ya za kenya hivyo na sisi ni lazima tuoneshe mkono wa shukrani
Lazima iagizwe demand ni kubwa kuliko supply hapa nchiniKuna mambo mengine yanahitaji decision promptly.
lakini sielewi hapa mnataka sukari iagizwe?!? isiagizwe?
Kama utaweza thibitisha hilo utakuwa sahihi.Museveni hana.viwanda vya kuzalisha sukari nyingi, Uganda wanaagiza sukari kutoka Brazil na hivyo wanakua na excess ya sukari kutoka Brazil na ndio hiyo wanataka kutuuzia.
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiagize kutoka Brazil, hangaya anafeli sana
Na akisusa maana yake kamvimbia rais na kwa hapa kwetu atashughulikiwa haswaaHutakiwi kususa(dharau), bali kufukuzwa ili kutimiza masharti 48 ya rule of power by Chi.
Binadamu ameumbwa kusahau lkn Wacha tuishi nao hawa ndg zetyHivi wakati wa tumbua tumbua ulikuwa umezaliwa?
Wakati waziri mkuu anadhalilisha kwenye kikao chake mwenyewe na wafanyabiashara ya korosho ulikuwa hospital?
Mwacheni mama afanye kazi , acheni chokochoko za kipuuzi!
Heri sisi tuliona na kusikia lakini kwa nchi hii sitegemei kuona kiongozi yoyote yule kujiizulu maana uwezo wa wakufukiri kwa watumishi wetu siyo wa kiuwajibikajiNimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Na kwakuongezea tu Museven ndio mmiliki wa viwanda vya sukari huko Uganda karibia vyoteHivi bado kuna uhaba wa sukari mpaka leo? sijasikia zile kelele muda mrefu.
Rais wetu naona kama amekubali kutumiwa na Museveni nae akatumika, kama Museveni ana sukari nyingi kwake haina soko ameona aje kulitafuta huku na sisi badala ya kujiuliza kama tunaihitaji naona tumekimbilia kukubali ombi tu ili kukuza urafiki na majirani.
Suala la kuita msimamo wa waziri wake Nonsense tena public nalo nalipinga, kama alikerwa na huo msimamo ana kila nafasi na kuonana na waziri wake na kumweleza aliyonayo, sio kumsubiri Museveni aje ndio anamnange mbele za watu, hizi ni tabia typical za kike - umbea.
Huyo waziri zaidi ya nonsense kwelikweli, alitakiwa awe ameachia ngazi hadi sasa lakini lilivyo zoba hadi sasa liko ofisiniNimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Tunalinda viwanda vya ndani vyenye uwezo mdogo kwa gharama kubwa sana na kwa kubebesha mzigo wananchi. Sukari ikiingia kutoka Brazil bei yake haitazidi TSH. 1800, ukilinganisha na bei ya sasa ya TSH 2600 hii si kulinda viwanda vya ndani bali ni rushwa. Mambo ya monopoly yalishaisha zamani! Kwanini tunalinda viwanda vya sukari tu na vingine vinashindana na vya nje kama kawaida. Natamani kujua viwanda vya sukari vinamilikiwa na nani maana vilibinafsishwa.
Report ya sukari 2015 ilionyesha Tanzania tuna uhaba mkubwa wa sukari tokea 1989.Kwanza inatakiwa uelewe Tanzania Ina shortage ya sukari kwa miaka mitano mfululizo, na hii yote imesababishwa na jiwe, Hivyo basi sukari inatakiwa iagizwe Mana viwanda vyetu having uwezo wa kuzalisha sukari mpaka wananchi wote tutosheke,
Nazani unaelewa kuwa bei ya sukari imeongezeka kwa asilimia mia moja. Wacha tufungue mipaka ili mwananchi apate nafuu
Hiyo issue ya hao wafanyabiashara naijua vizuri lkn sitabishana nawe baada ya kuacha takwimu na kuongelea nguo. Jamaa kasema hakuna viwanda huko mimi nikaonyesha kuwa vipo na wanabakiza maana wao wanahitaji tani 360,000 tu kwa mwaka. Hii ndiyo issue ya muhimu hapaMimi nitakujibu hapo kwenye haya yako ya kwanza,hivi unajua wafanyabiashara wengi wa kanda ya Ziwa Mwanza,Mara,Geita,Shinyanga na Tabora mizigo yao kama nguo,viatu na mingine wananunua Uganda,wakati hiyo mizigo inapita Dar
Maana yake UtopoloHivi maana ya neno NONSENSE kwa kiswahili ninini???[emoji38][emoji38]
Juzi kati nilikutana na vijana wale wa dampo wazungusha mchele kwa wafuga kuku mtaani, uko kwenye viroba vimeshonwa vizuri ila ume expire!Tutaletewa sugar Brazil zilizo kwisha muda wake zikiwa na package kutoka Uganda , tuta agizaje sukar kutoka nje wakati viwanda vina jengwa bagamoyo vya Azam naNssf vyote anaenda kuviua kwa faida ya wa chuuzi
MajalalaniMkenda ni Professa wa nini?
Hapo unamaanisha raisi hawezi kukosea? Kama raisi ana taarifa zote kuhusu nchi inakuwaje huwa anakosea kosea Sana? Mfano alisema wenzake na mbowe wamehukumiwa.Mkuu unahisi wewe una taarifa sahihi kuliko Rais wa Nchi?????
Hawa maprofesa huwa wanaona shida gani kujiuzulu ili kulinda hehima zaoProf kwa kulinda heshima yake, bora akae pembeni. Dunia kizungumkuti sana.
Huku mnasema wawekezaji njooni. Huku mnawapiga sindano ya ganzi
You are totally misinformed buddy,UG wanatumia Mombasa Port kwa almost 82% ya mizigo yake the rest ndio ifikirie TZ. Again SGR ya KE now inatoboa mpaka Naivasha mpaka Busia mdomoni kabisa mwa mpaka wa UG na KE, na wamepewa free land area kwa ajili ya kujenga Dry Port ya Mizigo.
Bomba la mafuta kupitiishiwa Tanga ni kwa sababu ya inflated costs na sheria za KE kulipa maradufu fidia, ardhi Mali ya mtu na si serikali. Mwekezaji yeyote huangalia cheap option kwa ajili ya ku maximize profit.
Again, monsoon winds ambazo huwa zaidi ya miezi 3 kwa mwaka ilikua ni tatizo katika njia ya kupitisha bomba, bomba lingefika bandari ya Lamu ambayo ilikua chini ya ujenzi haijakamalika by then wakati Tanga iko operational. Hakukua na njia mzuri na a lot of anti gravity katia njia ya Kenya tofauti na TZ. To top up, usalama kwani Lamu iko near na Somalia kwa Al Shabaab militants ambao pia hutarget Kenya na Uganda.
Get all the facts right.
Ni hayo tu.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app