Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

Mpaka asubuhi ya leo alipaswa kuwa ameshaweka barua nezani....tatizo ni aina ya uprofesa....if he is well educated profesa, asubuhi tu barua mezani....
 
Mpumbavu akikosolewa hung'aka ila mwerevu anakubali na kujirekebisha. Hata kama kuna ukweli ni kutumia tu busara kwani ni bodi wako.
 
Uganda walikwepa garama za aridhi kama wangepitia kenya. Hakana cha sacrifice hapa
 

Nani kamuita mkuu
 
Huyo anayeona kuagiza sukari nje ni nonsense wakati kuna upungufu mkubwa wa sukari, basi yeye ndio non-sense yenyewe kwani ni jukumu lake kuhakikisha sukari ya kutosha ipo.
 
Narudia tena , suala la sukari yetu kuwa bei juu ni KODI ZETU wenyewe.
Tunajipiga kodi hadi mtaji halafu tunashangaa bei ya bidhaa kuwa juu.
 
Wapi huko mkuu, huu ubuyu naona ulinipita.....
 
Kweli aisee, kawaangusha wachaga aisee. Njaa mbaya sana
 
Kujiuzulu kwa kutofautiana na mkuu wako wa kazi tena kwa nia ya kuonesha kuwa bosi ndio mwenye makosa au mawazo yasiyo sahihi ni kuhatarisha maisha yako zaidi ya kuvumilia kuonekana fala na mwenye mbele ya wananchi.
Kama hajipendi aachie ngazi
 
anajitoa vp na mangi yeye tabia yke ni kupenda sana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…