Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uganda walikwepa garama za aridhi kama wangepitia kenya. Hakana cha sacrifice hapaBro ni vizuri pia ujue kuwa Uganda nao wamesucrifice sana kwa kuleta bomba Tanzania, hilo bomba kiuhalisia lilitakiwa lipite Kenya but wao wakalileta kwetu na pia kuna benefits kubwa tunazipata kwa waganda kutumia bandari za Tanzania badala ya za Kenya hivyo na sisi ni lazima tuoneshe mkono wa shukrani
Kuitwa NONESENSE kwa jambo la halali halafu ukaendelea kubaki ofisini wakati wewe ni mbunge na Profesa tena toka jamii ya akina Mangi ni upumbavu wa Mpumbavu.
Mkenda ungepaswa kujiuzulu usiku ule ule. Labda umeamua kufuata nyayo za Prof mwenzako Mbarawa maana nae aliitwa Mpumbavu hadharani na akaendelea kukomaa
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Huyo anayeona kuagiza sukari nje ni nonsense wakati kuna upungufu mkubwa wa sukari, basi yeye ndio non-sense yenyewe kwani ni jukumu lake kuhakikisha sukari ya kutosha ipo.Kuitwa NONESENSE kwa jambo la halali halafu ukaendelea kubaki ofisini wakati wewe ni mbunge na Profesa tena toka jamii ya akina Mangi ni upumbavu wa Mpumbavu.
Mkenda ungepaswa kujiuzulu usiku ule ule. Labda umeamua kufuata nyayo za Prof mwenzako Mbarawa maana nae aliitwa Mpumbavu hadharani na akaendelea kukomaa
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hivi wakati wa tumbua tumbua ulikuwa umezaliwa?
Wakati waziri mkuu anadhalilishao kwenye kikao chake mwenyewe na wafanyabiashara ya korosho ulikuwa hospital?
Mwacheni mama afanye kazi , acheni chokochoko za kipuuzi!
Narudia tena , suala la sukari yetu kuwa bei juu ni KODI ZETU wenyewe.Tunalinda viwanda vya ndani vyenye uwezo mdogo kwa gharama kubwa sana na kwa kubebesha mzigo wananchi. Sukari ikiingia kutoka Brazil bei yake haitazidi TSH. 1800, ukilinganisha na bei ya sasa ya TSH 2600 hii si kulinda viwanda vya ndani bali ni rushwa. Mambo ya monopoly yalishaisha zamani! Kwanini tunalinda viwanda vya sukari tu na vingine vinashindana na vya nje kama kawaida. Natamani kujua viwanda vya sukari vinamilikiwa na nani maana vilibinafsishwa.
Hao ndio komesha.Wengine wameshakubali kuwa waliokotwa jalalani.
Wapi huko mkuu, huu ubuyu naona ulinipita.....Kuitwa NONESENSE kwa jambo la halali halafu ukaendelea kubaki ofisini wakati wewe ni mbunge na Profesa tena toka jamii ya akina Mangi ni upumbavu wa Mpumbavu.
Mkenda ungepaswa kujiuzulu usiku ule ule. Labda umeamua kufuata nyayo za Prof mwenzako Mbarawa maana nae aliitwa Mpumbavu hadharani na akaendelea kukomaa
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kweli aisee, kawaangusha wachaga aisee. Njaa mbaya sanaKuitwa NONESENSE kwa jambo la halali halafu ukaendelea kubaki ofisini wakati wewe ni mbunge na Profesa tena toka jamii ya akina Mangi ni upumbavu wa Mpumbavu.
Mkenda ungepaswa kujiuzulu usiku ule ule. Labda umeamua kufuata nyayo za Prof mwenzako Mbarawa maana nae aliitwa Mpumbavu hadharani na akaendelea kukomaa
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
anajitoa vp na mangi yeye tabia yke ni kupenda sana pesaKuitwa NONESENSE kwa jambo la halali halafu ukaendelea kubaki ofisini wakati wewe ni mbunge na Profesa tena toka jamii ya akina Mangi ni upumbavu wa Mpumbavu.