Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

Wizara na wataalam wao wataacha kutoa maamuzi ya kitaalam na kumuacha Mwenyewe Hangaya aamue kila kitu na akishindwa tusimlaumu waziri husika.
 
Mara baada tu ya hiyo kauli yake ningejiudhulu pas na kujali lolote. Nothing more nothing less!
 
Ajiuzulu ale kwako? Hapa Ni Tumbo Kama Polepole kiongozi wa matumbo
 
Waziri ni Prof, Maza Ana Elimu gani?
 
CCM mbele kwa mbele 🤣 🤣 🤣
 
Umenena kiukweli mkuu lakini vizuri hata mh Rais angweka hizi arguments on board badala ya slivyo ita nonsense.
 
Kabisa, kuna mengine wangemalizana ofisi, na siyo kuyaleta public!
Mzee hii kitu ni kama dili la wakubwa. Haiwezekani viwanda vyetu vituuzie sukari kwa bei ghali kuliko Zanzibar au Burundi au Uganda. Hivi hawa wengine wanatumia teknolojia gani mpaka wauze kwa bei ya chini kwa mlaji? Hii kitu inatia maudhi sana, kuna kitu hakieleweki na wala hakielezeki.
 
Laana na inasababishwa na watu wasio na uwezo wa CCM wanaoitwa viongozi.
 
Haina maana kununua sukari bei juu kwa maelezo kwamba tunalinda wazalishaji wa ndani,hii ndio nonsense yenyewe.

Kulinda uzembe na ukiritimba ni upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…