SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Elimu ya hapa na paleWaziri ni Prof, Maza Ana Elimu gani?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ya hapa na paleWaziri ni Prof, Maza Ana Elimu gani?
Nani kakwabia kuwa TZ Kuna utamaduni wa kujiudhuru!sisi tuaangalia tumbo yetu bwn hata ingekuwa matusi makubwa hakuna kuhacha V8 namasurufu kibaoNimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Thats my point!Profesa Mkenda Yuko sahihi 100%! Sukari iagizwe pale panapokuwa na nakisi Kati ya demand na local capacity of production, sio kuagiza tu kama mazoea kwani Hilo linauwa wazalishaji wa ndani!
SSH anong'onezwe, hapo kabugi!
Una mtazamo gani kuhusu waziri wa nishati?Kwa hiyo hapa tatizo ni Mkenda kuambiwa Hana SENCE? Ukweli Kati ya mawaziri si Mkenda peke yake ambaye Hana SENCE, wako wengi tu akiwemo wa Fedha, wa Biashara, wa Maliasili, wa Madini na kubwa Lao Afya.
Bukoba mfuko wa sementi ya ni TZS 24,000, inahitajika sana, inatafutwa sana, haipatikani!.Nmeona uzi hapa jana mtu anashauri Samia aruhusu cement toka Kenya, na usishangae na yeye akafanya hivyo.
Kumbe ni Prof...aisee ,tumeumbwa tofauti ..Mimi huwa skubali kudhalilishwa kizembezembe!Binafsi nimesikitika sana na kauli iliyotolewa. Inawezekana haikuwa nia yake ila alijisahau. Kati ya Mawaziri mahiri na wazalendo ni Mhe. Professa Adolf Mkenda. Nashauri atamke kuwa alipitiwa.
Issue ni CCM Kaka!Bukoba mfuko wa sementi ya ni TZS 24,000, inahitajika sana, inatafutwa sana, haipatikani!.
Sementi ikiingizwa kutoka Kenya mfuko ni TZS 12,000!.
Kama tuna upungufu, why not?.
P
Sugar importers wana influence kubwa sana katika Taifa letu, hilo msilisahau, na wala hawazidi wanne, binafsi naona ushawishi wao unaanza kurudi taratibu taratibu mwisho wa siku wataanza kulikalia Taifa letu kooni kwa mara nyingine tena - watahujumu viwanda vya sukari kwa import kile watakacho dai ni industrial Sugar kumbe ukaghai mtupu, wata import sukari inayo karibia muda wa ku-expire wanai-rebag upya na kuingiza sokoni - biashara ya ku-import sukari haina tofauti na biashara ya madawa ya kulevya ukisha ianzisha utaki kuiacha anakuwa kig'ang'anizi tu!!
Cha muhimu hapa kwa Madam President akumbuke kwamba Sugar is a Political commodity washauri wake walikumbuke sana hilo.
Nakuwekea odaTetetete nipo Endakso
Jibu ni kwamba kunawatu wanapenda Kila mtu Aishi kwa shida shida na vitu vizuri vibaki huko ulaya ila watanzania wao maisha yao yawe ya shida tu mpaka ndoto zao ziwe za kutisha tu na hata ikiwezekana wote waishi nyumba za nyasi na waishi na wanyama chumba kimoja, maji wanywe na wanyama na hata watembee uchi wote bila nguo Wala viatu ndo wanachopenda hao watu.Bukoba mfuko wa sementi ya ni TZS 24,000, inahitajika sana, inatafutwa sana, haipatikani!.
Sementi ikiingizwa kutoka Kenya mfuko ni TZS 12,000!.
Kama tuna upungufu, why not?.
P
Hivi bado kuna uhaba wa sukari mpaka leo? Sijasikia zile kelele muda mrefu.
Rais wetu naona kama amekubali kutumiwa na Museveni nae akatumika, kama Museveni ana sukari nyingi kwake haina soko ameona aje kulitafuta huku na sisi badala ya kujiuliza kama tunaihitaji naona tumekimbilia kukubali ombi tu ili kukuza urafiki na majirani.
Suala la kuita msimamo wa waziri wake Nonsense tena public nalo nalipinga, kama alikerwa na huo msimamo ana kila nafasi na kuonana na waziri wake na kumweleza aliyonayo, sio kumsubiri Museveni aje ndio anamnanga mbele za watu, hizi ni tabia typical za kike - umbea.
Sawa mkuu na bia lakini sijui ni Manyara A au B?Nakuwekea oda
Mchuma majangaCcm hupenda kuwaibia watanzania kupitia vibali vya sukari, mgao wa umeme na na kupandisha bidhaa muhimu bei...