Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

Umeona, yule mama wala hamwangalii nape machoni yaani aibu tupu
 
Huyu anajali tumbo lake mbwa huyu ndo maana anafananishaga bei ya bando na mafuta
 
Wewe bingwa wa statistics, Mbarali jana ni bashraf tu, mziki kamili waja soon.
Statistics is never ever applied kwenye mambo ya kijinga kama haya nielewe wewe mpuuzi na mjinga
 

Attachments

  • IMG-20230919-WA0064.jpg
    70.9 KB · Views: 1
Wanazima alafu sijui hawajui kuwa kuna vpn iv nani huwa ana washauri serikali ndo maana kuna kipindi siri zao zilikuwa zinavuja sana
 
Wala usishangae sana. Huo ndo ukweli. Na huyo ndiyo NAPE. Hizo kura anajua kabisa zinavopatikana!
 
Kama kura zingekuwa mitanfaoni mbona chadema wangekuwa wameshashinda urais au wabunge kibao. S proof ndo hiyo kwamba mitaoni ni kelele tu wapiga kura wapo kwenye ground. Na 2025 chadema ikipata mbunge hata mmoja nipo pale
 
Hii 'reasoning' siyo sawa kabisa! Miezi miwili iliyopita nilienda kijijini kwetu na vijana ninaofahamiana nao na wanaojua niko Dar es Salaam baada ya kusalimiana walikuwa wakiniuliza "kwa hiyo huko Dar mmeamua kuuza bandari, siyo?" Which means habari za mjini zinafika vijijini pia. After all, hata kijijini kuna watu wana 'access' mitandao na wanawashirikisha wanakijiji wenzao ni mambo gani yanajadiliwa mtandaoni. Hivyo, kudhani kura ni kijijini na mjini ni asilimia 16 tu si jambo la kujivunia. By the way, influence ya asilimia 16 (kama ni kweli, ingawa najua ni zaidi ya hizo asilimia) siyo ya kubeza unless lengo ni kujipa matumaini. It's unfortunate kwamba mambo ambayo wananchi wanalalamikia kwamba hayako sawa viongozi wanaona ni asilimia ndogo tu kwa hivyo si tatizo? Kiongozi mzuri ni yule anaye'pay attention to details'. Hata kama wanaolalamika ni wachache as long as wanalalamika wanapaswa wasikilizwe na siyo kuwapotezea.
 
Kama kura zingekuwa mitanfaoni mbona chadema wangekuwa wameshashinda urais au wabunge kibao. S proof ndo hiyo kwamba mitaoni ni kelele tu wapiga kura wapo kwenye ground. Na 2025 chadema ikipata mbunge hata mmoja nipo pale
Hao wanaoshinda mitandaoni wanaishi wapi?
 
Hao wanaoshinda mitandaoni wanaishi wapi?
Na mitandao ndiyo mawasiliano ya sasa ya dunia ya kidijitali. Hata kufanya mikutano au kuchangishana fedha mambo yote ni mtandaoni. Mitandao imeweza kuwaunganisha watu wengi duniani kwa namna ya ajabu. Mtu akifiwa au akiuguliwa taarifa zote ni mtandaoni na fedha zinachangwa mara moja na wanafamilia wanasaidiwa mapema iwezekanavyo, ambapo kama ingetegemea vikao vya kukutana physically ingechukua muda mrefu. Ukiona mtu anabeza teknolojia ya mawasialiano akidhani inatumiwa na watu wachache anajidanganya kabisa! Watu wa vijijini ni wafuatiliaji wazuri wa mijadala iliyo mtandaoni na wale wasio na simu wana redio na unakuta vijana hata akienda shambani kulima au ziwani kuvua anasikiliza habari zinazozungumzwa/jadiliwa. It's very bad to underestimate the means through which people come to know things!
 
Huyu kalewa madaraka

Yule askari aliyempa kashkash pale

St Peters apongezwe ,duh ila sijui yuko wapi kwa sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…