Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa!

Bas sasa kitu ndani ya nyumba.

Sasa Ningependa kupata Code kutoka kwa mlio oa Vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (DOs and DONT ) kwa mke.
Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi

Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Usipochepuka tuu basi mengine yote hayatakuletea shida na mkeo.
 
Asijue 100% ya kipato chako, onyesha kumpenda na kumjali ila katika hayo yote hakikisha asikupande kichwani yaani hakikisha anajua mipaka ambayo hatakiwi kuvuka, mpe nafasi ya kukushauri lakini wewe ndio uwe mwamuzi wa mwisho sababu kila ambacho mke wako atakushauri kikienda ovyo atarudisha lawama kwako hivyo ndivyo hawa viumbe walivyo.

Neno la mwisho BE WISE.
 
Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.

Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi

Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Usimfanyie kitu usichopenda kufanyiwa
Depal
 
Andika urithi
Asijue kipato chako
Usilete ndugu kwako waishi
Asijue ratiba yako
Usiache kumpa zawad
Msifie kila siku
Mwpe hela
Mtoe out
Usile housegirl
Nunua magari mawili
Usimtafutie kazi
Mlipe mshahara
Kila siku acha hela mezani...
Mbona masharti mazito,
 
Back
Top Bottom