Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Usipochepuka tuu basi mengine yote hayatakuletea shida na mkeo.
 
Asijue 100% ya kipato chako, onyesha kumpenda na kumjali ila katika hayo yote hakikisha asikupande kichwani yaani hakikisha anajua mipaka ambayo hatakiwi kuvuka, mpe nafasi ya kukushauri lakini wewe ndio uwe mwamuzi wa mwisho sababu kila ambacho mke wako atakushauri kikienda ovyo atarudisha lawama kwako hivyo ndivyo hawa viumbe walivyo.

Neno la mwisho BE WISE.
 
Usimfanyie kitu usichopenda kufanyiwa
Depal
 
Andika urithi
Asijue kipato chako
Usilete ndugu kwako waishi
Asijue ratiba yako
Usiache kumpa zawad
Msifie kila siku
Mwpe hela
Mtoe out
Usile housegirl
Nunua magari mawili
Usimtafutie kazi
Mlipe mshahara
Kila siku acha hela mezani...
Mbona masharti mazito,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…