Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Hakikisha anadeki nyumba yote, anafua nguo zote mpaka na mazulia, afagie uwa na kukata nyasi, apike Milo yote mitatu, afute mabuibui na kusafisha vioo, alime mboga mboga, amuoshe mbwa na kumpikia mbwa, asisuke Bali uwe unamnyoa na wembe, asiende sokoni Bali uwe unamletea kila kitu.
Mwisho hakikisha ndani ya miaka 3 awe na watoto 3.
Hakikisha hajipaki mafuta zaidi ya mafuta ya kula.
Fanya hivyo mkuu utanishukuru baadae usimwonee mwanamke huruma kwenye majukumu yake yalio kwenye maandiko na kumtaftia msaidizi.
Poker leo umekunywa nini?? 😂😂😂
 
Maintain your frame, wewe ni kiongozi wa familia, Mtafutaji, mlezi

Kuwa tayari kubeba majukumu yote ya familia na kufanya maamuzi magumu kulinda familia

Mpende mke wako kabla ya wengine, Kazi ya kupenda ni mwanaume, kutii ni mwanamke (kulingana na biblia)

Usiruhusu 50/50, Umemuoa yeye hajakuoa wewe

TAFUTA HELA SANA ITAKUPA HESHIMA

Mengineyo jiongeze haya mambo hayana formula sometimes maana familia A ni tofauti na familia B, fanya kulingana na mlivyozoeana
Mkuu ushaoa?? Km tayari hauhitaji kuongeza mke wa pili?? 😜
 
Back
Top Bottom