Nimeshawasilisha barua ya mashtaka dhidi ya Rais Samia kwenye mahakama ya The Hague ICC

Wale jamaa walio kua wanapiga risasi ovyo hawana familia walipozaliwa tunaomba anwani zao hawa watu walifanya unyama kwa vijana ambao hawana silaha vijana ambao wengine wanatoka kupiga kura wao ni kumimina risasi tu no mbaya sana lazima kisasi kuwepo Tuheshiane
 
una barua zingine ama ni hii tu?
 
Hao ICC waanze na Netanyau anayefanya mauaji ya Kimbari huko Ghaza .. au wale wa Sudan .. watuachie mama yetu
 
Mkuu GT shukran za dhati sana.
 
Kuna watu wanakusanya huo ushahidi na wanawasilisha.
Nadhani wametoa namba kwa yoyote alienazo awapatie
 
Hata mimi nimekua disturbed na hizi picha. Hivi huyu mama anapata usingizi kweli?
 
Hata angeshinda kwa kura 2 haina shida,mradi kashinda
Point yangu ni hivi Kama kaweza kutumia nguvu nyingi kwa njia za udanganyifu ili ionekane kapata kura nyingi kwa uchaguzi ambao Hana mpinzani unadhani atashindwaje kuua ili aingie madarakani? Hivi unaona hiyo imekaa sawa? Unamshabikia vipi mtu muovu Kama huyu,mtu kama huyu atashindwaje kuuza rasilimali za Taifa kwa maslahi binafsi
 
Hakuua Ili aingie madarakani, acheni uwongo,mmeanzisha vurugu Ili tusipige kura,ila tukapiga
 
Hakuua Ili aingie madarakani, acheni uwongo,mmeanzisha vurugu Ili tusipige kura,ila tukapiga
Yule mtangazaji wa clouds haliuliwaje? Shehe Majid aliuliwaje? Kwani waliandamana? Kuna watoto wengi wnaocheza soka la watoto waliwawa kwani hawa waliandamana? Utamtetea lakini mama Samia alichofanya Hana cha kujitetea polisi walikuwa wanarusha risasi ovyo mpaka kwenye majumba ya watu au mwenzangu hukuwa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…