Nimeshawasilisha barua ya mashtaka dhidi ya Rais Samia kwenye mahakama ya The Hague ICC

Sikuhoji chochote juu yako mkuu 'Richard', kama nilivyo jieleza kwenye bandiko lile; na haya unayonieleza hapa ni kama unamweleza mtu uliyrekuwa naye darasani mwako.
 
Mkuu usiandike kishabiki based na stories na clips za mitandaoni.

Uliza watu waliokuwa on the ground unbiased.

Vijana walikuwa wanatoka tu, wanaweka Road blocks , kwa kuchoma magogo na matairi.

Wakifuatwa wanakimbia na kurusha mawe.

Niambie hapo kama state ingefanya nini kulinda innocent citizens?
 
Kwaiyo ndo iwauwe
Hivi kweli wewe una akili timamu?
 
ICC itabidi wafanye kweli kwa huyu bibi ili kurudisha imani kwa dunia kwamba ina meno! Kama waliweza kwa sadam hussein alieteketeza raia 100 na ushehe basi kwa muafrika huyu watafanya kweli.
 
Umesikiliza hotuba ya raisi wako bungeni?
 
labda ndo wale wenye id zaidi ya moja sasa kajisahau kulog out hiyo id ya kichawa!
Mkuu, ID yangu ni hi tangia Jambo Forums, haijabadilika.

Mie ni mmoja wa wakongwe hapa JF.

Nielewe, kuna wakati nafanya matani penye soga la kawaida lakini kwenye masuala nyeti hapana, ni lazima kieleweke.
 
Asante sana dada Kiziwi kwa ufafanuzi mzuri kuhusiana na hali halisi ya operation ile ya kishetani dhidi ya raia.

Ila nasikitika kwa bahati mbaya sana ufafanuzi huu ulikuwa unamwandikia mtu mwenye uwezo duni sana wa kiakili na hakuna alichoelewa, nafikiri umeona reply yake kwa hii comment yako japo ulimpuuza.

Huwa nashindwa kuelewa kabisa hawa wapumbav wanaoshinda na kukesha humu wakijustify haya mauaji na kuwa demonize victims kwamba kila aliyeuawa ni muhalifu licha ya uwepo wa ushaidi lukuki unaonesha wengi tu walikuwa hawana hatia, watetezi hawa wanafaidika na nini hasa?

Ni kwamba wao ndio hawajaguswa kabisa na mauaji haya ya kiholela?

Yaani kabisa mtu anakazana kusema eti "serikali ingefanya nini sasa kutuliza wezi"? Utafikiri kila muhanga alipigiwa risasi kwenye hizo vurugu za kuvunja maduka.

Sijui hawa machawa huwa wanalipwa pesa kiasi gani mpaka wanajitoa ufahamu namna hii.

Kwanza ni wapi imewahi kutokea maelfu ya vibaka wakaingia barabarani kwa muda mmoja kwenye mikoa zaidi ya saba? Yaan hawa wajinga wanajikomaa sana kusukuma hiyo narrative ya "uhalifu" ila dunia inayatambua kama maandamano yaliyotokana na umma kutokufurahishwa na serikali yao sema yaliambatana na fujo.

Na maandamano yoyote yale huwa hayatulizwi kwa risasi haijalishi yana violence kiasi gani, sasa hawa vilaza wakaona watumie shortcut ambayo ni kupiga watu risasi ovyo ovyo tu njia ambayo ni ya gharama kubwa sana, sasa wako wako bize kujustify njia waliyotumia tena kwa hoja za kipuuzi kweli.

Kiukweli hatujawahi kuwa na serikali ya majitu yenye akili mbovu kama hii ya sasa.
 
Shukrani mkuu kwa compliment.

Huwa situmii kiingereza sana lakini nikikasirishwa na jambo na nikipata mai ya kutosha, basi huamua kudondosha nondo kama hizi.
Chatgpt ...mkuuu umeandikia ila hoja yako naunga mkono safi
 
Innocent civilians hao vijana ni wapi walishambulia raia i was there jombi tena mbele tuliongozwa na gari la jeshi guess what tumefika conway hotel dar tukakutana na roadblock ya mabandits gari ya jeshi ikasonga mbele waaandamanaji wakabaki akatoka kiongozi wa bandits akasema neno moja tu tawanyikaaa na kiswahil hajui vizuri kilichofuata risasi zilimiminwa pale kama wanaua mazombi. Ajabu alikuwa askari mmoja kavalia mkanda wa risasi kabisa walikufa watu chini ya mia pale. Nenda pale conway magomeni kagera kaulize kilichotokea
 
One step at a time, mdogomdogo tutafika tu. Justice will prevail.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…