Wewe ndio unaweza kukaa naona watoto wa watuMnavyotudharau walimu sasa!?
Huko shule huyo mtoto aliyekuchosha wewe waenda mtupia nani?
When you pray for the rain , you got to deal with the mud too. Welcome to parenting 101Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe.
Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu.
Bora warudi shule.
Mpwayungu Village kashaacha dharau bhanaMnavyotudharau walimu sasa!?
Huko shule huyo mtoto aliyekuchosha wewe waenda mtupia nani?
Nakazia hapa🛠Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu.
Wanunulie vitu vigumu (durable) vya kuchezea.Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe.
Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu.
Bora warudi shule.