Nimeshazichoka vurugu za watoto, bora shule zifunguliwe

Nimeshazichoka vurugu za watoto, bora shule zifunguliwe

Huku ni kukimbia majukumu, huoni aibu kusema maneno ya namna hii? Kwamba jukumu la malezi limekushinda ndio maana unaomba Mungu shule zifunguliwe watoto warudi kwa walezi wao?

Huu ni wakati wa kumshape mtoto wako, kumfundisha skills ndogondogo, kumfundisha majukumu ya nyumbani, aweze kujisimamia mwenyewe bila uwepo wako.

Wazazi wa leo mnatia aibu sana.
 
Tabia za watoto na matendo yao sometimes huwezi vidhania.
Enzi zangu nakumbuka kuna siku nilishika kipande cha mwanzi na kuanza kukatakata mau hovyo, furaha yangu ni vile maua yanaruja nikiyakata.

Siku nyingine ninetumwa kurudisha jembe ndani, nikaanza kulima barabarani kuiga walivyokua wanalima wao.

Vitendo vyote hivyo nilipata adhabu kali kwelikweli ya viboko.
 
mtoto alivyo ni jinsi ulivyomlea,kweli mzazi unadiriki kusema "hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu."
sisi zamani mkisha kula cha mchana lazima ukalale hata kama hauna usingizi kuamka saa 12 jioni saa 3 lazima ukalale tena kuna msemo maarufu tulikuwa tunaambiwa kalaleni mkue....mzazi usimyime mtoto fimbo ila napo angalizo usizidishe...kaazi kwelikweli ila inawezekana pamoja tupo kwenye dunia ya utandawazi bado unaweza kumuepusha mtoto na malezi ya "kijuniya"
 
Hayo nayo pia ni matokeo ya kutafuna Papuchi,
Vumilia tu,hata wewe ulitesa wazazi wako pia wakakuvumilia na ukakua,

Huu ni muda wa wewe kutambua jinsi wazazi wako walivyo hangaika na wewe,
So,wazazi waheshimiwe na kusaidiwa coz it's our turn kuwalea wao sasa.
 
Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe.

Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu.
Bora warudi shule.
malipo ni hapahapa wazazi wako walikuwa wanateseka hivohivo
 
Back
Top Bottom