Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
punyeto haiepukiki kwa kuapa kwanza Hata Mungu alishakataza kujiapiza wewe weka tu kwamba mimi naacha na uweke juhudi, kama shule tu Ilikuwa ili ufaulu basi inabidi usome kwa bidii, so usiposoma na ukajiapiza kwamba utafaulu je, utafaulu vipi... Fanya juhudi kuzingatia hatua za kuacha kwa nguvu zote ndipo utaacha nje na hapo basi huna nia ya kuachaUfala wake kila siku unarenew kiapo
Hata mla unga ukienda kumuambia unga unamuharibu anakuona snitch, vilevile mleviHuu kweli mwisho wa dunia hii.
Serious kabisa mtu anamuomba Mungu amsaidie aache utamu.
Hivi utamu wa nyeto mnaufahamu kweli
ukiamini hivyo unabaki hivyohivyo... mimi kipindi hicho ilifika hatua nikaona kabisa kwa hali ile basi sidhani kama kuna mtu hajichui kumbe huo ndo ufahamu Shetani aliowapachika waraibu ili wasisikie wala kuambilika, wawe suguBila wazir mkuu kuingilia kati kukwepa punyere ni ndoto
Nyoka akisimama sio kigezo cha wewe kuanza kumchua, Mungu amekuumba hivyo na maana ya kusimama hivyo nibkukuonesha kwamba nyoka wako bado yu mzima na ameamua kujinyoosha misuli sasa wewe unakuta nyoka kasimama kujinyoosha kutokana na kulala kwa muda mrefu wewe tayari ushaanza kumfanyia massage tena na kifaa ambacho sio special kwaajili yake we huoni unaua asili na madhara yake huyo nyoka atakuwa na malezi yaliokengeuka atakuwa na tabia za kisasa, yaani kama ni kuku basi ni kuku wa kisasa na hawezi kulingana uwezo na wa kienyejiMe nilikuwa nikienda tu kuoga nyoka anasimama Sem nlimshinda sababu ya ubusy wa kaz ninazo fanya
Niliacha nyeto maana performance ilipungua na misuli kulegea nyeto MBAYA SANANyoka akisimama sio kigezo cha wewe kuanza kumchua, Mungu amekuumba hivyo na maana ya kusimama hivyo nibkukuonesha kwamba nyoka wako bado yu mzima na ameamua kujinyoosha misuli sasa wewe unakuta nyoka kasimama kujinyoosha kutokana na kulala kwa muda mrefu wewe tayari ushaanza kumfanyia massage tena na kifaa ambacho sio special kwaajili yake we huoni unaua asili na madhara yake huyo nyoka atakuwa na malezi yaliokengeuka atakuwa na tabia za kisasa, yaani kama ni kuku basi ni kuku wa kisasa na hawezi kulingana uwezo na wa kienyeji
Sio poa alafu anatokea mtu ananichukulia poa, oya ile vita ambayo baada ya kuona naiweza basi hadi leo naona mimi hakuna dhambi inaweza kunipelekesha na kama ni kuna mbingu basi nishindwe mwenyewe tu kwenda ila naamini Malaika wameshangiliaKuacha sio kitoto man inahitaji msuli, yani udise afu huna demu mtaani na usipige puli..??
Acha tukupe maua yako hii kitu wameishindwa mababu
Appreciate π, Endelea kukaza mkuu usije hata siku ukasema ngoja nikazie na mkono si maramoja tuu ohoooNiliacha nyeto maana performance ilipungua na misuli kulegea nyeto MBAYA SABA
Ile vita ni ngumu kuifikia hatma, hata uwe na jeshi kali la wagner...Sio poa alafu anatokea mtu ananichukulia poa, oya ile vita ambayo baada ya kuona naiweza basi hadi leo naona mimi hakuna dhambi inaweza kunipelekesha na kama ni kuna mbingu basi nishindwe mwenyewe tu kwenda ila naamini Malaika wameshangilia
Tafuta Mwanamke Mkuu.Habarini wakuu,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, Uraibu ya kujichua (punyeto) sio rahisi kuushinda hasa pale unapokuwa huna mahusiano, domo zege, mpenda ngono na mtazamaji wa ngono film...
Wasema weweTafuta Mwanamke Mkuu
Huwezi hivi hivi, unless Hanithi
Ukiwa addicted ndio inakua mbaya km Pombe na vileo vingine watu wanatumia kwa kiasi ukitumia kupitiliza na vyenyewe vinakupitiliza, huwezi ukanywa bia kreti 2 ukaenda kuendesha Gari utalitupa mtaloni hivyo hivyo huwezi piga nyeto round 10/15 kwa siku ukaenda ukakutana na mwanamke utegemee utaperform vizuri sahau, usichokijua wanawake wanapiga nyeto tena wanawake ndio wanaoongoza kupiga nyeto kuliko wanaume, usipomfikisha atajifikisha kwa kupiga nyeto atajipekecha mpaka afike atanitumia hata kile kibomba Cha bafuni akiwa anaoga anakipeleka kule Chini maji yanamwagikia kiarage mpaka anafika kileleNiliacha nyeto maana performance ilipungua na misuli kulegea nyeto MBAYA SABA
Mazoezi ndo nn wewe boya? Mbona unataka kuingilia haki yangu ya Kikatiba? Hebu kazike mwenzio huko Kibaigwajenga utaratibu wa kufanya mazoezi usiku
Kwa hiyo una muda gani tangu uachane na hiki chama?Habarini wakuu,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, Uraibu ya kujichua (punyeto) sio rahisi kuushinda hasa pale unapokuwa huna mahusiano, domo zege, mpenda ngono na mtazamaji wa ngono film, mtu wa kupenda kujitenga sana wale wa kujiita introvert sijui n.k (Hayo ni makundi ambayo yapo on top kwenye kuizagamua mikono yao) Alafu nyeto ni roho ya ajabu kweli yaani, Kama umezoea kujichua na mkono wa kulia basi siku ukijaribu kujichua na wa kushoto basi inakuwa kama umechepuka vile yaani[emoji119]
Kiufupi nyeto inahitaji dhamira ya dhati kuiacha nje na hapo omba rehema za Mungu au jaribu kuwa na mahusiano na mtu ambae kama ukihitaji anytime akuchanii mkeka itakusaidia kupunguza makali au kama hujaathirika sana basi utaacha, utakuwa hujaishinda punyeto bali umepumzika.
Mimi msoto nilioupitia kuacha hii kitu na huku bila kuwa na mahusiano ni Mungu tu anajua, yaani Akili haisomi sometimes hisia zipo to the highest zinanichochea japo nifanye ngono na mwanamke yeyote ila kidume nikadhamiria kuzituliza hizi hisia za kichochezi za kimwili zikae chini yangu kunisikiliza mimi, Hadi sasa nathibitisha nimeishinda kabisa, 3yrs sio poa alafu ukizingatia nilikaa 1.5yrs bila kufanya mapenzi kabisa basi nasubutu kusema nimeishinda hii kitu. Ila nimechafua mashuka na boxer sana, Yaani inafika hatua kwenye daladala umekaa na mwanamke pembeni akigusa kidogo hivi kutokana na mneso wa gari basi akili inavurugika kabisa ila Asante Mungu muweza wa yote.
Nakupa mbinu chache ambazo nazifanya kuvishinda vichocheo hivi vya kufanya ngono au kujichua. Ili kama na wewe ni muanga wa hizo mambo ukapitie kwa nia dhati na hakika itakusaidia
Mungu nimemuweka kwenye hatua yangu ya mwisho kwa kuwa alishatuhasa kwamba dhambi ya uzinzi haikemewi bali inakimbiwa, So anza kwanza kuiepuka kwa hatua hizo tatu za mwanzo kwa nia moja kisha Ongezea na Mungu unatoboa.
Shukran sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila wazir mkuu kuingilia kati kukwepa punyere ni ndoto