Nimeshindwa kuacha kujichua
Kuna raha zake, raha jipatie mwenyewe, ni sawa na kula nyama ya mtu, ukila kuacha sio rahisi.
 
Siku nilipogunduwa kuwa mbegu za mwanaume ndiyo uhai wa mwanaume,,

Ndy siku niliyoacha nyeto rasmi na kufanya tendo la sex Kwa kiasi ..

Amini maneno yangu hizo mbegu zote unazozitoa bila mpangilio,
Kuna siku zitakurudia na kukutafuna..

Mbegu za mwanaume ndio uhai wa mwanaume na ndio Ile nyota ya mwanaume

Mwanaume ana damu nyekundu inayoendesha moyo yaani mwili, na damu nyeupe ndio damu ya uzazi

Sasa mwanaume unayechezea damu yako nyeupe, damu ya uzazi na uhai kwa kuimwagamwaga hovyo hebu jiulize kama ingekua Ile damu nyekundu ungejiskiaje?

MWANZO 38:9-10
Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.
Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamwua yeye naye.
 
Mbegu za mwanaume ndio uhai wa mwanaume na ndio Ile nyota ya mwanaume

Mwanaume ana damu nyekundu inayoendesha moyo yaani mwili, na damu nyeupe ndio damu ya uzazi....
nimeamini there's very strong spiritual power behind punyeto. solution pekee ni maombi binafsi na maombi kutoka kwa watu wengine.

pray for us plzz[emoji120]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kuacha kujichua ni kazi ngumu kama utaamua kujiwekea sheria.

Nirahisi kama ukiamua kuwa huru (un-guided) yani wewe mwenyewe uwe ndio kiongozi wa roho na mwili wako.

Kujiongoza inapaswa umkaribishe Mungu kwenye process zote za maisha yako. Mungu ni upendo, hivyo karibisha upendo kwenye roho na maisha yako ya kila siku.

Upendo pekee ndio uupe maana na ukuu kwenye roho na maisha yako; Mengine yote including kujichua, visasi na mambo yote mabaya vione havina maana yoyote kwenye maisha (na hii ni kweli havina maana).

Upendo ukitawala maisha yako, mabaya yote huondoka menyewe automatically haina haja ya kujiwekea sheria au kujilaumu kwa kutotimiza masharti fulani, bali utaona mienendo yako inabadilika na kuwa mtu huru kiongozi wa mwili wako mwenyewe.

Ukiwa huru, na upendo ukajaza roho yako... Kitakacho kuongoza ni huo upendo, punyeto na mabaya yote yatatoweka. Amini hili halihitaji kufunga au kuombewa, ni wewe tu na utayari wako.

Kumbuka Upendo = Mungu
 
Habarini wakuu,

Kama kichwa kinavyosema hapo juu, Uraibu ya kujichua (punyeto) sio rahisi kuushinda hasa pale unapokuwa huna mahusiano, domo zege, mpenda ngono na mtazamaji wa ngono film, mtu wa kupenda kujitenga sana wale wa kujiita introvert sijui n.k (hayo ni makundi ambayo yapo on top kwenye kuizagamua mikono yao).

Halafu nyeto ni roho ya ajabu kweli yaani, kama umezoea kujichua na mkono wa kulia basi siku ukijaribu kujichua na wa kushoto basi inakuwa kama umechepuka vile yaani.

Kiufupi nyeto inahitaji dhamira ya dhati kuiacha nje na hapo omba rehema za Mungu au jaribu kuwa na mahusiano na mtu ambae kama ukihitaji anytime akuchanii mkeka itakusaidia kupunguza makali au kama hujaathirika sana basi utaacha, utakuwa hujaishinda punyeto bali umepumzika.

Mimi msoto nilioupitia kuacha hii kitu na huku bila kuwa na mahusiano ni Mungu tu anajua, yaani akili haisomi sometimes hisia zipo to the highest zinanichochea japo nifanye ngono na mwanamke yeyote ila kidume nikadhamiria kuzituliza hizi hisia za kichochezi za kimwili zikae chini yangu kunisikiliza mimi.

Hadi sasa nathibitisha nimeishinda kabisa, 3yrs sio poa halafu ukizingatia nilikaa 1.5yrs bila kufanya mapenzi kabisa basi nathubutu kusema nimeishinda hii kitu. Ila nimechafua mashuka na boxer sana, yaani inafika hatua kwenye daladala umekaa na mwanamke pembeni akigusa kidogo hivi kutokana na mneso wa gari basi akili inavurugika kabisa, ila asante Mungu muweza wa yote.

Nakupa mbinu chache ambazo nazifanya kuvishinda vichocheo hivi vya kufanya ngono au kujichua. Ili kama na wewe ni muanga wa hizo mambo ukapitie kwa nia dhati na hakika itakusaidia.

Ya kwanza: Nimekuwa mtu wa kutokuyapa macho yangu kutaza vitu vinavyoweza kunifanya nitamani kufanya mapenzi mf: Porn Videos, Wadada wanaokaa uchi kwenye mitandao na wakata mauno, yaani ikitokea nimeplay au kuhisi whats next basi naskip fasta, sina company ya washkaji ambao 24/7 ni stori za wanawake na kuwala.

Ya pili; Mazoezi, Hapa nimegundua miili yetu wanaume inapaswa kuumia, yaani ukiupa mwili muda wa kurelax sana unajitengenezea uchochezi wa kuhitaji kukanda, so hapa nahakikisha nikianza kuhisi dalili tu za mwili kuhitaji basi napiga push ups zangu 20 nikiamka hisia zote zimepotea. Pia before kulala make sure unafanya mazoezi ili ukiingia kitandani tu kutokana na uchovu basi utalala kwa haraka.

Nyingine niwape mbinu wale ambao mnadinda dinda hovyo wakati mwingine sehemu zisizo rasmi jambo ambalo linawafanya mkose confidence kusimama, ikitokea hali hiyo bana pumzi usipumue kwa sekunde 15 kisha vuta pumzi moja alafu ubane kwa sekunde 15 ukija kuachia uume umelala yaani unakuwa umeutuliza uume ndani ya 35sec kisha confidence yako inarudi.

Ya tatu: Mikono isipende kushika sehemu zako za siri au pia usipende kujitazama sana maungo yako au muonekano wa mwili wako kwenye kioo, itakuchochea kutaka kuona mengi zaidi ya hiyo mikono, six packs na kifua.

Ya nne: Jiweke karibu na Mungu itakujenga kiimani na kukupa nguvu ya kuzidi kupambana kuishinda tabia hiyo mbaya.

Mungu nimemuweka kwenye hatua yangu ya mwisho kwa kuwa alishatuhasa kwamba dhambi ya uzinzi haikemewi bali inakimbiwa, so anza kwanza kuiepuka kwa hatua hizo tatu za mwanzo kwa nia moja kisha ongezea na Mungu unatoboa.

Shukran sana.
 
Kujichua iundiwe TUME Maalum
Waliothirika wakashindwa kuacha wanasema haina madhara la mkuu madhara yapo na mengine yapo kiroho zaidi huyaoni ila siku ukija kugundua inakuwa toolate
 
Back
Top Bottom