Nimeshindwa kuacha kujichua
Wala tusidanganyane....suluhisho la hilo unatakiwa uwe na mwanamke karibu tu.......na huyo mwanamke awe tayari kukupea hasa zile nyakati Hali hiyo inakukuta.......baada ya hapo utauanza kuona punyeto hauna thamani Tena......utaanza kupenda sex na mwanamke......hapo unakuwa umetengeneza psychological effect

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haina madhara kaka mim toka form 2 huko napiga na nikipata manz napiga vizu tu ..madhara nayoyaona kwangu tu huwa sina mzuka na real sex kivile ila mkuyenge uko fit as usual
Kuna madocta wa mchongo hua wanadanganya eti tatizo la nguvu za kiume huletwa na Nyeto ni uzushi tu

Mimi nimeanza kupiga tangu mwaka 2002 na mpaka leo napiga na mademu napiga kama kawaida na sina mmoja ninao kama saba ambao nipo nao active.
 
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia[emoji16][emoji16]

Nakirusha tu shwaaa[emoji23][emoji23] dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya[emoji120]
Jisifie tu ila siku ukikamata mwanamke ukamaliza ndani ya dakika 1 ndiyo utajua kuwa ulikosea sana.
 
Kuna madocta wa mchongo hua wanadanganya eti tatizo la nguvu za kiume huletwa na Nyeto ni uzushi tu

Mimi nimeanza kupiga tangu mwaka 2002 na mpaka leo napiga na mademu napiga kama kawaida na sina mmoja ninao kama saba ambao nipo nao active.
Unapigaje nyeto wakati mademu wapo wengi hivi?
 
😂😂madokta huwaga waongo na hawa wanaouza vidawa vyao
 
Unapigaje nyeto wakati mademu wapo wengi hivi?
Sio kila anaepiga hajapata madem kuna watu wapo kwenye ndoa na nyeto wanapiga kama kawa ni addiction kama addiction nyingne.Mim upande wangu nyeto napiga kama kawa na madem ninao kama watatu na bado kuna madem wa kununua mpaka elf 2 😂
 
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia
emoji16.png
emoji16.png

Nakirusha tu shwaaa
emoji23.png
emoji23.png
dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya
emoji120.png
A
 
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia[emoji16][emoji16]

Nakirusha tu shwaaa[emoji23][emoji23] dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya[emoji120]
Tulivyokuwa advansi uboizini Kuna jamaa angu mmoja hivi tulikuwa tunamwita mzee wa mitupio. Yeye halali, hapendi Darasani bila kukitupa. Yule alikuwa balaa 😂
 
Back
Top Bottom