ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
Kuna madocta wa mchongo hua wanadanganya eti tatizo la nguvu za kiume huletwa na Nyeto ni uzushi tuHaina madhara kaka mim toka form 2 huko napiga na nikipata manz napiga vizu tu ..madhara nayoyaona kwangu tu huwa sina mzuka na real sex kivile ila mkuyenge uko fit as usual
Jisifie tu ila siku ukikamata mwanamke ukamaliza ndani ya dakika 1 ndiyo utajua kuwa ulikosea sana.Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia[emoji16][emoji16]
Nakirusha tu shwaaa[emoji23][emoji23] dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya[emoji120]
Unapigaje nyeto wakati mademu wapo wengi hivi?Kuna madocta wa mchongo hua wanadanganya eti tatizo la nguvu za kiume huletwa na Nyeto ni uzushi tu
Mimi nimeanza kupiga tangu mwaka 2002 na mpaka leo napiga na mademu napiga kama kawaida na sina mmoja ninao kama saba ambao nipo nao active.
Acha kuwatisha CHAPUTA mkuuSiku nilipogunduwa kuwa mbegu za mwanaume ndiyo uhai wa mwanaume,,
Ndy siku niliyoacha nyeto rasmi na kufanya tendo la sex Kwa kiasi ..
Amini maneno yangu hizo mbegu zote unazozitoa bila mpangilio,
Kuna siku zitakurudia na kukutafuna..
😂😂madokta huwaga waongo na hawa wanaouza vidawa vyaoKuna madocta wa mchongo hua wanadanganya eti tatizo la nguvu za kiume huletwa na Nyeto ni uzushi tu
Mimi nimeanza kupiga tangu mwaka 2002 na mpaka leo napiga na mademu napiga kama kawaida na sina mmoja ninao kama saba ambao nipo nao active.
Sio kila anaepiga hajapata madem kuna watu wapo kwenye ndoa na nyeto wanapiga kama kawa ni addiction kama addiction nyingne.Mim upande wangu nyeto napiga kama kawa na madem ninao kama watatu na bado kuna madem wa kununua mpaka elf 2 😂Unapigaje nyeto wakati mademu wapo wengi hivi?
ANdiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia
Nakirusha tu shwaaadah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya
Tulivyokuwa advansi uboizini Kuna jamaa angu mmoja hivi tulikuwa tunamwita mzee wa mitupio. Yeye halali, hapendi Darasani bila kukitupa. Yule alikuwa balaa 😂Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia[emoji16][emoji16]
Nakirusha tu shwaaa[emoji23][emoji23] dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya[emoji120]
Kumwaga mbegu hovyo ndy kujimaliza nguvu na uhai wako.Uligundua nini?
Mshindo mmoja unapomwaga ni sawa na 400 milions blood cells.Kivipi mkuu- hebu fafanua zaidi
Endelea mkuu ..Acha kuwatisha CHAPUTA mkuu
Aaah unamzungumzia Mantak Chia au sio?Kumwaga mbegu hovyo ndy kujimaliza nguvu na uhai wako.