Nimeshindwa kuacha kujichua
Jitahidi kuwa bize epusha kuwa na mawazo potofu na jitahd kuchangamana na watu wa kalbu
 
Nilisema dawa za kuongeza nguvu zimepigwa marufuku nikimaanisha, " hakika, amini usiamini, punyeto inapunguza nguvu za kiume" kama hautapunguza na uacha kabisa hilo tatizo utakuwa nalo, ndio maana nikakutania.
 
Your Brain on Porn: Internet Pornography and the Emerging Science of Addiction​

Book by Gary Wilson
 
How,? explain
Mbegu za kiume ni uhai kamili wa mwanaume,

Jinsi unavyozitoa hovyo ndy jinsi zinavyokutafuna..
Unapomwaga mshindo mmoja unapoteza cells millions Kwa round Moja.
Mbegu zina connection kubwa sna kiroho..
Mbegu zimebeba roho za viumbe.

Si jambo la kumwaga mwaga hovyo..

Ndy maana hakuna dini hata Moja ya MUNGU inayokubali nyeto au matumizi ya condoms..

Unapaswa umwage Kwa mwanammke,,
Tena umwage kule kuliko halali(mbele).

Otherwise ni kumkosea Mungu wako.
Nyeto ina madhara kisayansi na kiroho pia.
 
ndugu Lighton

KATAA KYVM@ KATAA GONO

KATAA KYVM@ KATAA UTI

KATAA KYVM@ KATAA HIV

PIGA NYETO UTANISHUKURU

na mvua hizi kazi unayo
 
Acha kuangalia porn tafuta demu we domo zege acha kujimaliza mwenyewe ,sali sanaa,futa picha/video za ngono kwenye simu yako,acha kuangalia movie yenye maudhui ya ngono...All in all nasisitiza..... PRAY HARD
 
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia[emoji16][emoji16]

Nakirusha tu shwaaa[emoji23][emoji23] dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya[emoji120]
Endelea.......
 
Huu mwaka sifanyi hata kwa bahati mbaya ila jana na leo shetani alikuwa na nguvu sana sijui kwaajiri nilikula karanga mbichi jana leo asubuhi shetani pia kajitahidi nimemtoa knokout tatizo mademu pia wanzingu mtu nimemtumia nauri anafika DSM tu ndio ananipa ratiba nyengine sijui kazini wapi.

Solution nini wazee huu mwaka sijafungua picha hata ya nusu uchi hata moja ilitopostiwa mtandao wowote ule
 
Kufungua picha sio ishu, Kudindisha ni lazima tu ata kama usipoangalia picha wala video
 
Back
Top Bottom