Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
- Thread starter
- #181
Hamna mkuu ninajishughulisha. Lakin hayo unayosema nimeshafanya lakin wap. Nakaribisha mawazo mapya nina nia ya kuachaNyeto ni dalili kwamba huna majukumu huna kitu cha kujishughulisha na una tatizo kidogo kwenye akili.. tafuta kazi ufanye wekeza muda wako kufikiri mambo yenye tija punyeto sio mbaya ila inaharibu mfumo wa hisia leo unaweza sema ni sawa ila kesho haiwezi kuwa sawa sawa.