Nimeshindwa kuacha kujichua
Ukiacha nyeto Jambo la kwanza within 2 weeks jiandae kuchafua mashuka km hujaoa au huna demu anaekupa cooma uipige mbupu kila mda unaohitaji yaan utakua unamwaga Shahawa na utakua na ashki sio kawaida hii sio kwamba unaangalia nini na nini hapana kila kitu kimesharekodiwa kwenye ubongo wako zile picha na kumbukumbu ubongo hua unazirudisha wenyewe unajikuta tu chwaa mara umelala na Irene Uwoya dadeq hujakaa sawa huyu hapa kakupa mzigo unapiga Mambo unakuja kushtukia mchezo umeshamwaga chupa ya mvinyo na shuka limeshachafuka, ukilala tu vibaya umemwaga manii, kwa hio nunua sabuni za kutosha na uwe na maji ya kutosha
 
Ila watu 😁 haya bhana ninyi msemao nyeto ndo mkombozi mimi siwezi kuwatenganisha na mkono wenu
 
Ila watu 😁 haya bhana ninyi msemao nyeto ndo mkombozi mimi siwezi kuwatenganisha na mkono wenu
Niambie experience yako week 2/3 za mwanzo baada ya ku-quit nyeto nini kilikupata ? I mean changamoto gani za awali ulikua unazipitia ?
 
We jamaa utakuwa na matatizo sio bure. Nakuonaga mara nyingi ukiwaita mods katika mazingira ambayo hauna shida yoyote. Mfano nakuonaga unaquote comment ya mtu halafu unamwita mod, anakuuliza nini shida unachojibu hata hakieleweki.
Aseeee ni noma sana hu luyu
 
Kumwaga mbegu hovyo ndy kujimaliza nguvu na uhai wako.
Na kila bao unalolimwaga nje unaua kiumbe.

Ndy maana Mungu anatuelekeza kumwaga kwenye uke wa mwanammke,
Tena Kule kwenye rutuba(mbele).
hata ukimwaga huko bila kuzaa ujue ni kupoteza kule kule
 
Kama unafanya Kaz. Kila siku unatoka asbh unarejeaa saa tatu za usku Basi huwezi piga nyeto ila Kama upo ideal lxm nyeto ikuhusu
 
Kama unafanya Kaz. Kila siku unatoka asbh unarejeaa saa tatu za usku Basi huwezi piga nyeto ila Kama upo ideal lxm nyeto ikuhusu
Huijui nyeto vizuri ndugu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] Lile pepoo kulishindaa sio kizembee yani ni Pepo bayaa sanaaa.
 
Mimi tatizo langu NI Bolodinda yaan kuna siku nilifedheheka sana nilidindisha mbele ya mama na mwanae mwanae ni binti mkubwa ana bonge la tako, nikamsalimia akajibu huku Mbolo limedinda suruali inaonyesha alafu ukizingatia Mimi sipendi miboxer inayobana Mbolo aisee mama akanicheeeeck mtoto akaitika salamu akaenda mama akaingia ndani maana daaah nimedinda vibaya hii Mimi kuacha kudinda haiwezekani nimejaribu kila mbinu sasa basi nimeamua kuacha tu acha idinde Mimi si mwanaume bwana
Mkuu hii kali aisee we mwanaume bhana wacha idinde
 
Niambie experience yako week 2/3 za mwanzo baada ya ku-quit nyeto nini kilikupata ? I mean changamoto gani za awali ulikua unazipitia ?
changamoto ndo hizo, mfa: matamanio ya kimwili kuzidi, kuchafua boxer na mashuka, kuwa off mood ila hali yote hukaa sawa pindi tu ufanyapo mazoezi ya mwili, pia kunywa maji mengi
 
MODS NAOMBENI TUHESHIMIANE, NAOMBENI UZI WANGU MUURUDISHE, MAANA MNAANZA KUNIZOEA VIBAYA SASA, UZI WA PILI HUU MNAUNGANISHA NA NYUZI AMBAZO HAZIHUSIANI NA UZI WANGU
 
Moderator Tafadhali naombeni mrudishe huu uzi wangu, mimi uzi wangu hauhusini na mimi kushindwa kuacha kujichua bali nimeeleza ni kwa namna gani mtu anaweza kuacha kujichua
 
Back
Top Bottom