Nimeshindwa kusema uongo kwa kisingizio cha uzalendo

Nimeshindwa kusema uongo kwa kisingizio cha uzalendo

....wandugu; kuna inquiry kutoka nje (mimi ni mwanachama kwenye forum fulani inayojihusisha na investments kwenye agribusiness na SMEs). Kuna potential investor ameniuliza maoni yangu - akinukuu alichosema Dangote miaka miwili iliyopita na kuhusu maneno yasemwayo na watawala wetu - kuhusu hali ya uwekezaji hapa nchini kwa sasa.

Nimemshauri asubiri angalau miaka 5 ijayo kunako majaaliwa tuone hali itakuwaje.
Mataga mnaruhusiwa kunitukana muwezavyo; LAKINI huo NDIO Ukweli halisi.
Ulichokifanya sio uzalendo ni usaliti kwasababu ukweli unaujua, hizo hoja zako sii za kweli.
Hata Dangote alianza kusema hivi
Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors
Kisha akarekebisha akasema hivi
Dangote arekebisha kauli ya ‘Bulldozer’. Asema “It's OK, I have his mobile number, I can call him and he listens to me”

P
 
Kuna mengine muandikayo yanadhihirisha hivyo. Samahani sana kama umekwazika.

Nilidhani kwa manufaa ya wote (na nchi) ungetuwekea hoja zako ili watu wajifunze. Lakini sweeping statements unazozileta hapa hazisaidii.
 
Ulichokifanya sio uzalendo ni usaliti.
P

Kaka Paskali; mtu anaetaka kuwekeza USD 2.5 milioni sio mjinga hata kidogo. Kumbuka kuwa mimi binafsi ninakosa kitu akiamua kuacha kuwekeza; lakini SIWEZI kuweka rehani credibility yangu.

Acha niwe msaliti, lakini nitasema ukweli daima.
Ningependa mtu anipe maneno ya kizalendo ili nimshawishi huyu jamaa bila kupoteza credibility yangu.

I'm waiting....
 
Watu mumekosa uzalendo hadi mnawadanganya investors wasije kuwekeza, uzuri investors wanazidi kuja na huwa hawategemei taarifa za mtu mmoja, atakuuliza wewe na aende kuthibitisha kwa mwingine, hivyo ukikaa unsheherekea kwamba umeikomoa Tanzania, unashangaa huyo huyo muwekezaji ametangaza kutinga nchini.
 
Ulichokifanya sio uzalendo ni usaliti kwasababu ukweli unaujua, hizo hoja zako sii za kweli.
Hata Dangote alianza kusema hivi
AFRICA's RICHEST MAN, ALIKO DANGOTE BLASTS MAGUFULI’S ECONOMIC POLICIES
Kisha akarekebisha akasema hivi

Dangote arekebisha kauli ya ‘Bulldozer’. Asema “It's OK, I have his mobile number, I can call him and he listens to me”

P

Kwamba si kweli kuwa Dangote alisema alichosema mwanzo (na kumbuka si mimi niliemnukuu Dangote bali ni huyo potential investor - na alinukuu matamko ya watawala pia, remember?) au si kweli kuwa ili ukate rufaa ya kodi ni LAZIMA ulipe theluthi ya ulichodaiwa?

PS: Najua kuwa sheria inasema unaweza kumuomba Kamishna Mkuu akusamehe kulipa hiyo one third; ila sijawahi kukutana na mtu aliekubaliwa so far.
 
ombwe lililopo baina ya mihimili ya serikali ndo chanzo cha uvundo unaonuka kila pahala bt ni mazuzu pekee ndo hushangilia kila kitu OVA
 
Uko sahihi kabisa mimi siwezi kuitangaza serikali ya awamu ya tano hata kidogo

Ni sawa na kusema kuwa kwasababu tapeli ni mtanzania ati nisiwastue watu wa mataifa
 
Mleta hoja sijui kama ni mkweli au kama kafanya fundings hasa kwenye agro-processing sijui ni eneo gani hasa ambalo ulikusudia kuwekeza.

Well, 5 years kusubiri usitegemee mwekezaji huyo atasubiri 5 years kama ulivyomshauri. Fedha ikiwa mfukoni lazima atafute eneo jingine (nchi nyingine) ya kuwekeza ili apate faida.

Congo hali ya usalama sio shwari ukilinganisha na Tz. Hali ya usalama Nigeria hata baadhi ya maeneo Kenya, sio shwari yet kuna uwekezaji mkubwa sana.
Basically wakati wa JK, NEMC walikuwa na nguvu sana (sio ya kukakugua isipokuwa urasimu tu), bila certificate yao ya tathmini ya mazingine (EIA) yet wawekezaji walikuwepo.
Nadhani hujafanya findings za kutosha maana kwa sasa mchakato wa uwekezaji red tapes zimepungua unlike kule nyuma.
Japo, tuna haja ya kukubaliana, kuna baadhi ya wafanyakazi wa serikali mpaka sasa bado ni miungu watu. Its very frustrating jambo ambalo laweza kufanya in less than 24 hours linachukua siku 3 mpaka wiki.

Cha mwisho, kwanini hukuanzia TIC ili kupata tax incentive certificate?? Maana kuna issues ukianzia TIC mchakato wake unakuwa ahueni hasa kwenye masuala ya kodi.

F
 
N
Ni kweli na wewe ukipata potential investors, mwambie uonavyo wewe!! Ila mimi nikimpata lazima niseme kama jamaa alivyomwambia wake.
Storms and heavy rains make mninga tree grow deeper roots
 
Freddie Matuja,

Asante sana kwa maoni yako. Lakini mimi nilimueleza risks zilizopo kwenye maeneo hayo mawili niliyoyaeleza hapa. Na kwa nini? Yana impact kwenye production cost structure na cashflow.
 
King James Bible
And seek the peace of the city whither I have caused you to be carried away captives, and pray unto the LORD for it: for in the peace thereof shall ye have peace.

Christian Standard Bible
Pursue the well-being of the city I have deported you to. Pray to the LORD on its behalf, for when it thrives, you will thrive."

Contemporary English Version
Pray for peace in Babylonia and work hard to make it prosperous. The more successful that nation is, the better off you will be.
Jer 29:7
Nimependa neno "work hard"... kuna mambo mengine yanaweza yasiwe smooth hao wanaokwamisha au kuchelewesha mwisho wa mwezi wana mshahara, na at 60 years wana uhakika na kiinua mgongo.

So far, mimi na wewe ambao kweli tuna nia ya kutoka, ugumu na vikwazo vya sheria iko haja kutafuta suluhisho jambo lifanyike ndani nawe ukiwa mfaidika wa mchakato.

Ni wakati huuhuu kuna makaburu wanaitwa "Silverlands" wanauza vifaranga na vyakula vya kuku, kwa sasa msimu huu wa JPM; they are the leading chicken feed manufacturer in Tz.

Sasa mwenzetu, sijui ni angle ipo umekwama na sidhani you should put tools down. Sio sawa.
 
Back
Top Bottom