Kama kuna Kampuni ningewapea ushauri wa bure wafunge kabisa biashara TZ ni AIRTEL..Zile kodi wametozwa, gawio la tangu miaka ya 2000's, na bado wapatie GOT 50% hisa bure...
Ila wakurugenzi wa Airtel wanajua utamu wa soko la uhakika TZ, amani, miundo mbinu etc.
Ukishindwa kufanya biashara Tz, kama unatarajia kupanua biashara hadi china sahau sana...China wata copy bidhaa zako, waziunde wenyewe na wakufungie jela..Hakuna mahakama uhuru, na hawafuati maagizo ya international abitration / WTO.
Mtu apambane na hali yake sio kulia lia tu