Tatizo lipo kwenye unpredictability of the current administration, that scares investorsMleta hoja sijui kama ni mkweli au kama kafanya fundings hasa kwenye agro-processing sijui ni eneo gani hasa ambalo ulikusudia kuwekeza.
Well, 5 years kusubiri usitegemee mwekezaji huyo atasubiri 5 years kama ulivyomshauri. Fedha ikiwa mfukoni lazima atafute eneo jingine (nchi nyingine) ya kuwekeza ili apate faida.
Congo hali ya usalama sio shwari ukilinganisha na Tz. Hali ya usalama Nigeria hata baadhi ya maeneo Kenya, sio shwari yet kuna uwekezaji mkubwa sana.
Basically wakati wa JK, NEMC walikuwa na nguvu sana (sio ya kukakugua isipokuwa urasimu tu), bila certificate yao ya tathmini ya mazingine (EIA) yet wawekezaji walikuwepo.
Nadhani hujafanya findings za kutosha maana kwa sasa mchakato wa uwekezaji red tapes zimepungua unlike kule nyuma.
Japo, tuna haja ya kukubaliana, kuna baadhi ya wafanyakazi wa serikali mpaka sasa bado ni miungu watu. Its very frustrating jambo ambalo laweza kufanya in less than 24 hours linachukua siku 3 mpaka wiki.
Cha mwisho, kwanini hukuanzia TIC ili kupata tax incentive certificate?? Maana kuna issues ukianzia TIC mchakato wake unakuwa ahueni hasa kwenye masuala ya kodi.
F
Sent using Jamii Forums mobile app