Nimeshindwa kusema uongo kwa kisingizio cha uzalendo

Tatizo lipo kwenye unpredictability of the current administration, that scares investors

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni kuwa wangepata ajira?
Kwani hawa waliopo wanajiendeshaje? Au wao hawakuambiwa ukweli... Na mbona bado wapo hawaondoki kama hali ni mbaya kiasi hicho?
Si wajiajiri wenyewe? Au kama vipi, serikali ya VIWANDA iwape ajira. Kwa nini tuendelee kutegemea handout za Mabeberu?
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi murua. UKWELI ndio utatupeleka mbele, sio UNAFIKI
 
Huyo ndio MZALENDO wa kweli. Anawaamsha wadau wachape kazi kurekebisha makosa na kuboresha utendaji. Ngonjera za kujisifu hazitufikishi popote.
 
Nasikitika kwa kutoelewa nilicho andika ila nafarijika sana kufahamu humu jamvini kuna wengi wameelewa.
'To keep silent when you can say something wise and useful is as bad as keeping on propagating foolish and unwise thoughts'
Nimejikita kwenye si wote tuonavyo uonavyo, ungejisemea wewe binafsi kwani JF of GT kila mtu anatakiwa ajisemee aonavyo yeye na si kuwasemea wengine.
 
Nimejikita kwenye si wote tuonavyo uonavyo, ungejisemea wewe binafsi kwani JF of GT kila mtu anatakiwa ajisemee aonavyo yeye na si kuwasemea wengine.
Una uhakika gani kuwa ni wote???? Acha malumbano ya kitoto ndugu yangu
 
Ni taasisi gani iyo? na Mimi uniunganishe nao nikawaeleze ukweli wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejali manufaa yako binafsi.
Wewe ni mbinafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
 
Umemwambia Vizuri.. Tanzania ipo kwenye madiliko ya kiuchumi, kukwepa kodi, kuendesha biashara kihuni kuhuni itamgharimu sana..Ila mwanabiashara atakeye fuata mfumo huu mpya akivumilia makali ya mabadiliko ya ki ghafla ataliteka soko nzima la Tz.
Soko la uhakika lipo, nguvu kazi ipo, miundo mbinu ipo, amani na usalama upo..Mwekezaji aliye na akili, weledi na ujasiri ana pima kila kitu sio kuingiza wasi wasi..$2.5m ni pesa ndogo sana, wenzake wanawekeza mabilioni
 
Huoni kuwa wangepata ajira?
Kwani hawa waliopo wanajiendeshaje? Au wao hawakuambiwa ukweli... Na mbona bado wapo hawaondoki kama hali ni mbaya kiasi hicho?

Tafuta mtu wa TRA akueleze ni biashara ngapi zinafungwa sasa hivi ukilinganisha na zinazofunguliwa. Binafsi mwaka huu nime-process business closure 3. Na wote ni foreigners.
Nakutajia biashara zilizofungwa barabara moja - tena ya nje ya mji - ya Nelson Mandela kuanzia round-about ya Impala kuelekea Moshono (nitaishia Chekereni):

1. Impala Hotel
2. Kijenge Animal Products (well, ipo chini ya administrator lakini haina miezi miwili kuanzia sasa itakuwa imeshafungwa rasmi)
3. Serengeti Fresh (walikuwa wananunua french beans kutoka kwa wakulima wadogo na kufanya parking kwa ajili ya processing)
4. Finlays (biashara yao ilikuwa sawa na Serengeti Fresh), ila wao walikuwa na shamba na packaging plants
5. Arusha Blooms, walikuwa wanalima french beans na ku-export.

Kwa pamoja hizo kampuni zilikuwa zimeajili over 1,000 employees.
 
Nilikutana na one of the managers 2 years ago ndiyo akanipa maelezo.
..."At the beginning of 2017, new infrastructure for feed production and raw material storage was commissioned. The new fully computerised feed mill can produce 40 metric tonnes of quality chicken feed per hour. Together with the increased storage capacity of 32 000 metric tonnes, we now operate one of the largest feed production plants in Eastern Africa."... toka kwenye website yao. Tanzania wameingia 2014 ila expansion ya miundombinu ilikuwa 2017.

Wanalipa soyabeans Iringa wananunua mahindi kwa bei ya kutupa.

About Us | Silverlands
Jihabarishe hapo juu kwenye tovuti yao

Bado naona mambo kama haya sio rocket sc. Kuna pahala kwenye Investment strategy sio Policy (tunakwama)

Economic war inakuwa won by strategy.
 

I thought as much. Kwa investor atakaeanza leo due dilligence atakayofanya ni makini zaidi kulinganisha huko nyuma.
 
Tatizo lipo kwenye unpredictability of the current administration, that scares investors

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anaemsema mdau amekuwa scared. Ila .... pitia hapa About Us | Silverlands
...At the beginning of 2017, new infrastructure for feed production and raw material storage was commissioned. The new fully computerised feed mill can produce 40 metric tonnes of quality chicken feed per hour. Together with the increased storage capacity of 32 000 metric tonnes, we now operate one of the largest feed production plants in Eastern Africa...

Tanzania is still very virgin kwenye investment initiatives hasa kwenye agro-processing.

Mwaka jana hapa bongo, Mo alifungua plant ya kusingika ngano. Mo pamoja na sintofahamu alizopitia, bado anakomaa kuwekeza.
Bongo is stil very virgin wadau. Basi; kuna shida hasa kwa start-up kupata investment financing. Ila fika Iringa (Mufindi) kuna "mabeberu" wamewekeza, wanakula kiulainiii porini huko. Nchii hii, ahh basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…