Nimeshindwa kusema uongo kwa kisingizio cha uzalendo

I thought as much. Kwa investor atakaeanza leo due dilligence atakayofanya ni makini zaidi kulinganisha huko nyuma.
Boss, it depends on how we view/perceive. Ila safari hii, kuna watu wanapiga hela kwenye hizo hizo agro-processing.
 
Boss, it depends on how we view/perceive. Ila safari hii, kuna watu wanapiga hela kwenye hizo hizo agro-processing.

I believe we are not reading from the same page. Hakuna mahali niliposema kuwa nilimwambia project sio viable. Hakuna mahali niliposema industry hiyo sio profitable.
 
Mfiaukweli,

Hongera sana kwani ww ndio mzalendo wa kweli. Usiwe mnafiki kwa kutoa sifa za uongo kisha ukamuingiza huyo mwekezaji matatizoni. Baada ya hii miaka mitano huenda akaja kiongozi anayejali sheria.
 
Kama kuna Kampuni ningewapea ushauri wa bure wafunge kabisa biashara TZ ni AIRTEL..Zile kodi wametozwa, gawio la tangu miaka ya 2000's, na bado wapatie GOT 50% hisa bure...

Ila wakurugenzi wa Airtel wanajua utamu wa soko la uhakika TZ, amani, miundo mbinu etc.

Ukishindwa kufanya biashara Tz, kama unatarajia kupanua biashara hadi china sahau sana...China wata copy bidhaa zako, waziunde wenyewe na wakufungie jela..Hakuna mahakama uhuru, na hawafuati maagizo ya international abitration / WTO.

Mtu apambane na hali yake sio kulia lia tu
 
Mfiaukweli,

Hongera sana kwani ww ndio mzalendo wa kweli. Usiwe mnafiki kwa kutoa sifa za uongo kisha ukamuingiza huyo mwekezaji matatizoni. Baada ya hii miaka mitano huenda akaja kiongozi anayejali sheria.

Nashukuru sana Mkuu.
 
Kiranga upo? Yesu anakupenda sana
 
Uzalendo ni km alichofanya Maalim Seif Leo? Dr. Smith yupo sahihi Asilimia 100 watu weusi Akili zetu azipo Sawa...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…