Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Zamani ndo nilikuwa naipenda mpira wa Europe, maana zilikuwepo talent za maana
Ila Europe saiv stat ndo huyo Mpabe, vini, Saka, siwezi
Sisi tuliowaona akina zidane, canavaro, toto, de Lima, Dunga, jay jay, begkamp, gigs, ndo tuli enjoy European football
 
Kwahiyo bongo ndio Kuna talent Sasa hivi kuzidi europe?
 
Kila mtu ana mapenzi yake, ila usiite takataka kile anachokipenda wenzio. Kuna watu hawapendi kabisa mpira wa miguu lakini husikii akitoa kauli kuwa akiona anaona kama takataka. Ilipaswa kuishia kuwa hupendi mpira wa bongo, ila sio kutoa lugha ya dhihaka. Mwisho utambue kuwa wazungu wamepiga hatua katika maendeleo hivyo jambo lolote litakalo fanyika na mzungu litafanyika kwa uzuri na ufanisi zaidi ya wafrica. Tunashea talent na wazungu ila wao wametuzidi miundombinu tu.
 
Wewe kweli hujielewi yaani kabisa unataka kufananisha huo uchafu wa yanga na ulaya
We ndo mbumbumbu Sasa huko ULAYA Kuna Nini.
Me nimeangalia mpira zamani.
Hapa bongo mpira inapigwa mzuri tu.
Tatizo nyie madogo mnadharau vya kwenu mnaona kila kitu kizuri kipo ULAYA
 
We ndo mbumbumbu Sasa huko ULAYA Kuna Nini.
Me nimeangalia mpira zamani.
Hapa bongo mpira inapigwa mzuri tu.
Tatizo nyie madogo mnadharau vya kwenu mnaona kila kitu kizuri kipo ULAYA
Kaangalie nafasi ya timu iliyocheza na yanga kwenye ligi Yao ipo ya 15 halafu yanga ndio bingwa tanzania na kachezea kichapo halafu uje ufute huu ushuzi wako hapa
 
Tatzo bdo Africa tunafkra za utumwa sasa ata uspo shabikia kwa wengne npow tu ww unaona mpra wa bongo n mbaya sasa ww nan wakwenu anacheza uko ulaya au na we n unatuletea umalaya umalaya wa kzaman
 
Kaangalie nafasi ya timu iliyocheza na yanga kwenye ligi Yao ipo ya 15 halafu yanga ndio bingwa tanzania halafu uje ufute huu ushuzi wako hapa
We unapima nafasi Yanga ukiwapeleka ULAYA waka enjoy manzingira, viwanja vizuri, mishahara we unadhani watakuwa hivi.
Saiv ULAYA hakuna talent na European football haivutii
 
Tatzo bdo Africa tunafkra za utumwa sasa ata uspo shabikia kwa wengne npow tu ww unaona mpra wa bongo n mbaya sasa ww nan wakwenu anacheza uko ulaya au na we n unatuletea umalaya umalaya wa kzaman
Mzee Mimi sio jinga jinga kama wewe ambalo linashabikia timu za serikali ya ccm simba na yanga Mimi nafuata mpira mzuri tanzania mpira hamna ni uchafu wa jalalani
 
Nilifikiri kwamba kwa sababu tangu unaanza kuandika hujaweka alama yoyote ya uandishi basi angalau mwishoni utaweka kituo!
 
We unapima nafasi Yanga ukiwapeleka ULAYA waka enjoy manzingira, viwanja vizuri, mishahara we unadhani watakuwa hivi.
Saiv ULAYA hakuna talent na European football haivutii
Jibu swali timu iliyocheza na yanga ni ya 15 mbona imeichezeshea kichapo yanga ambayo bingwa sio unaniletea mifano ambayo haitotokea Sasa yanga ya tanzania uipeleke ulaya kufanya nini halafu soka la ulaya talent kibao sema wewe hujui mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…